Kuna dhana inayoendelea katika jamii kuwa ukinywa maji ya madafu unaweza kupata ugonjwa wa MABUSHA. Dhana hiyo siyakweli kabisha. MBU aina ya CULEX na ANOPHELES ndiyo wanaoambukiza minyoo inayo sababisha ugonjwa wa MATENDE na MABUSHA.
NJIA ZA KUJIKINGA.
1. Tulale kwenye vyandarua vilivyotiwa dawa
2. Kunywa dawa kinga za Mabusha na matende kila mwaka.
3.Kuharibu mazalia ya mbu.