Maji ya Uvuguvugu yaani sio moto sana wala sio baridi sana yapo maji kati kwa kati ndio yenye faida lakini Maji ya moto hayana faida yana madhara kwa binadamu. Ushahidi wa Maji ya Uvuguvugu Kwa Kiingereza (Warm Water) Soma hapa chini .Wanajamii naomba kufahamu kunywa maji ya moto ambayo yametolewa jikoni muda mfupi kabla ya kuyanywa yana faida zipi?