hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
MziziMkavu jana ulileta mada ya faida za maji ya moto. Kwanza ahsante sana. Swali langu ni, naweza kutumia maji ya moto kama water therapy kipindi nnapohisi nna dalili za homa kuelekea kwenye malaria?
Msaada tafadhali mkubwa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Msaada tafadhali mkubwa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Last edited by a moderator: