david b choka
Member
- Apr 7, 2017
- 34
- 13
Naomba kufahamu faida ya kunywa maji ya ndimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kurekebisha mfumo wa alkali tumboni kama sijakoseaNaomba kufaham faida ya kunywa maji ya ndim
Hiki ndio anataka kusikiaYanaongeza nguvu za kiume.
Dose yake mkuu ?X? Ili nisije overdose [emoji3][emoji3]Yanaongeza nguvu za kiume.
Hapana bw kadagala 1,nilisikia kuwa maji hayo ya ndim huondoa sumu mwilini kwa kutumia kwa utaratibu fulani, hiyo ndio dhamira yangu ya swali langu kuhusu maji ndim.Yanaongeza nguvu za kiume.
Aisee nilijarubu kwa muda wa mwezi mmoja nilikauka kama kuni ucjarubu mkuy
Hii ni habari njema kwa wanaotaka kupunguza miili!Kila xku asubuh kata limau kipande kimoja kamlia kwenye glass ya maji yasiyo ya barid ..kunywa, kaa kwa muda wa sio chini ya dakika 30 bila kula kitu chochote Fanya hivyo kila cku asubuh kabla hujala chochote , ili upate matokeo bora.......
Dose yake mkuu ?X? Ili nisije overdose [emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23]Hiki ndio anataka kusikia