Maji ya ndimu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee nilijarubu kwa muda wa mwezi mmoja nilikauka kama kuni ucjarubu mkuy
 
Husaidia mmeng’enyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umeng’enyaji wa chakula.
 
Kila xku asubuh kata limau kipande kimoja kamlia kwenye glass ya maji yasiyo ya barid ..kunywa, kaa kwa muda wa sio chini ya dakika 30 bila kula kitu chochote Fanya hivyo kila cku asubuh kabla hujala chochote , ili upate matokeo bora.......
 
Hii ni habari njema kwa wanaotaka kupunguza miili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…