Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
Jamaa yangu mmoja kanifuta na kuniomba msaada wa mawazo kwamba toka amalize masomo yake ya kidato cha nne mwaka 2004 matokeo yake yalikuwa mabaya sana, sasa ana make plan ya kurisit mwaka kesho, je inakubalika na utaratibu wa kuresist upo vip kwa sasa??