Maji yakishamwagika yanazoleka

ephraim wahero

Senior Member
Joined
Mar 24, 2016
Posts
139
Reaction score
25
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!

Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……
Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.
"Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bac sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!"
Mshkaji jiii! hajajibu kitu…..

Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.

"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 5000 ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"

Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji.
"BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"

‪#‎dada‬ wa watu mashavu yakamshuka… hakuamini kilichotokea…. yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwa……
JAMANI WADADA kama una nia ya kupiga kirungu uwe unatoa pesa kwanza ndo unatoa excuse… kuna watu wamevurugwa!!! mtazamo gan kwa huyu jamaa na huyu dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…