DOKEZO Maji yanayosambazwa Morogoro (SUA Main Campus) yana tatizo. Mamlaka chunguzeni

DOKEZO Maji yanayosambazwa Morogoro (SUA Main Campus) yana tatizo. Mamlaka chunguzeni

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Maji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.

Tunaomba Serikali ilifatilie
 
Maji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.

Tunaomba Serikali ilifatilie
Je, Una uhakika kwamba fungus ulizonazo chanzo chake ni maji??Madai yako yana ukweli gani?

Tafadhali eleza kwa kifupi na kwa kina juu ya historia ya tatizo lako la fungus ulilonalo ili mamlaka zinazohusika zipate dondoo za mahali pa kuanzia katika kufanya uchunguzi wao.
 
Kwenye kampasi mko wa ngapi mna fangasi?Kama ni ww mwenyewe basi itakuwa huachi chupi au boksa ikauke vizuri kabla ya kuvaa.Fangazi hatoki kwenye maji ila anaweza kusa vaivu kwenye Kuta za mabafu na sehemu nyingine zenye unyevu nyevu.Sijui ushanipata?Hata bacteria haezi ishi komfotebo kwenye maji yanayo tembea
 
Morogoro kuna unyevubyevu mwingi na hali ya joto. Hali hizi mbili zinapendwa sana na fungi. Hivyo mtu napaswa kuwa msafi na akioga au kutawaza ahakikishe amejifuta vizuri na kuwa mkavu.
 
Maji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.

Tunaomba Serikali ilifatilie
MAJI YA MOROGORO YOTE HAYATIBIWI,NI MAJI MACHAFU TANZANIA NZIMA;

MORUWASA NI WATU WA DEAL WAKUBWA,WEZI WALE.
Weka ushahidi wa tuhuma yako mkuu
njoo morogoro uone maji yanayonuka.
 
Dahh! Morogoro hasa town maji yake ukiyanywa bila kuchemsha typhoid chap!
 
Back
Top Bottom