A
Je, Una uhakika kwamba fungus ulizonazo chanzo chake ni maji??Madai yako yana ukweli gani?Maji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.
Tunaomba Serikali ilifatilie
Aisee[emoji1787]Maji ya Morogoro yana ladha na harufu ya mchanganyiko wa Punda na mbuzi
MAJI YA MOROGORO YOTE HAYATIBIWI,NI MAJI MACHAFU TANZANIA NZIMA;Maji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.
Tunaomba Serikali ilifatilie
Weka ushahidi wa tuhuma yako mkuuMAJI YA MOROGORO YOTE HAYATIBIWI,NI MAJI MACHAFU TANZANIA NZIMA;
MORUWASA NI WATU WA DEAL WAKUBWA,WEZI WALE.
Nunua taulo ujikaushe vizuriMaji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.
Tunaomba Serikali ilifatilie
MAJI YA MOROGORO YOTE HAYATIBIWI,NI MAJI MACHAFU TANZANIA NZIMA;Maji yanayotumika Morogoro mjini hasa Kwa upande wa SUA Main Campus yanasababisha fangasi sugu sehemu za siri.
Tunaomba Serikali ilifatilie
njoo morogoro uone maji yanayonuka.Weka ushahidi wa tuhuma yako mkuu