Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Maji ya wapi unaongelea
Mi nachojua hata uwe na kiu vipi maji ya bukoba huwezi kunywa
Maji Yao ni Yana chumvi sanaaaaMaji ya wapi unaongelea
Mi nachojua hata uwe na kiu vipi maji ya bukoba huwezi kunywa
Naona kama vile hauko sawa kichwani, maji ya Kigoma na Dar husambazwa toka vyanzo tofauti, maji ya Kilimanjaro na Afya husambazwa na viwanda tofauti na maji ya mvua na visima nayo yana tofauti, sasa sijui unasema yapi.Nadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi.
Ni huku kwangu tu na huko ulipo hali ni hii hii?
#Rais wa Mbezi Beach, Dar
View attachment 3679377
View attachment 3679379
Maafisa uteleziMaji ya wapi unaongelea
Mi nachojua hata uwe na kiu vipi maji ya bukoba huwezi kunywa
Haya maji machafu sio mali ya CCMNadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi.
Ni huku kwangu tu na huko ulipo hali ni hii hii?
#Rais wa Mbezi Beach, Dar
View attachment 3679377
View attachment 3679379
Kumbe Dar kuna sehem maji yanatoka ya bomba?? Asee huu mji kumbe ni mkubwa sana. Mim nilikuwa najua Dawasa ilishakufa.Nadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi.
Ni huku kwangu tu na huko ulipo hali ni hii hii?
#Rais wa Mbezi Beach, Dar
View attachment 3679377
View attachment 3679379
CCM ndio imekufa Dar! DAWASA BADO KIDOGOKumbe Dar kuna sehem maji yanatoka ya bomba?? Asee huu mji kumbe ni mkubwa sana. Mim nilikuwa najua Dawasa ilishakufa.