Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

Hivi magu. an a PhD ya Nini vile.
 
Uongozi wa awamu hii yawezekana si kwa mkono wa Mungu Baba Mwenyezi !! Kuna kila viashiria tosha kwamba huwenda ukawa haukutokana naye....!

na mimi natamka wazi kwamba "Mwanakondo wa ameshindaaaa......."
 
Kwani hao mashekhe walifungwa kipindi anaongoza mkristo au muislam? kama lawama mtupieni JK ila ukweli tuuseme tu mashekhe ni waoga sana wanaogopa hafi vivuli vyao isipokuwa Shehe ponda tu
Kuna masheikh walifungwa wakati wa nyerere. Wakati wa mwinyi. Wakati wa mkapa. Hakuna wakati wa kikwete isipokua wale wa uamsho lakini walikamatwa na SMZ sio JMT
NA Kwa sasa Ndio masheikh wengi sana wanakamatwa wakati wa utawala huu wa Magufuli halafu hakuna tena kesi kusomwa mahakamani
Wakati wa jakaya kila mtu alikua akikamatwa shauri lake lilikua linapelekwa kortini lakini huyu jamaa anakutupa ufute huko kama wewe ni muislamu
 
Hao masheikh wa Uamsho waliwekwa jela enzi ya utawala wa nani kama sio JK, ukilia uwe na sababu.
Mkuu masheikh wengi wamekamatwa kipindi hiki kuliko hao wa uamsho
Na wale wa uamsho walikamatwa na SMZ kabla lakini sio JMT
Na kesi zao zilikua zinaendelea jamaa alivyoingia amelazimisha kesi zisimame ili wafie jela
Hakuna mtu anataka waachiwe Bali tunataka shauri Lao lirudishwe kortini
Ndio maana viongozi waandamizi walienda mpaka chato kupiga magoti masheikh kesi zao zirudi mahakamani lakini jamaa bila huruma pamoja na kupiga magoti kasema labda nifikirie kwanza
 
Kuna Mhuni Mmoja anajiita Mchungaji leo kajipendekeza sana kwa Jiwe
 
Huyu askofu ana special seat katika ufalme wa Mungu Baba Mwenyezi
 
Wewe ndio Poyoyo kweli kweli, by the time anastaafu Lawaitama wa already ana associate Prof, Mwalimu wangu yule...
 
Vipanga tu hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…