Majibizano ya konda na abiria wake

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja aliekuwa peku na hajavaa nguo yoyote( yaani alikuwa uchi) alikuwa amesimama kituoni!!!
Abiria!!konda hii daladala inaenda wapi??
Konda posta!!
Abiria akapanda!!
Konda akamkodolea macho sana!!!
Abiria!!!we konda unashangaa nini nini usichokijua??
Konda!!sikushangai wewe nashangaa nauli yangu utakuwa umeiweka wapi!!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwani hakuwa na mikono mana anaweza kuwa kaishika au kaibana kwapani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…