Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
1. Alizaliwa miaka kadhaa kabla ya uhuru...
2. Kaja dar mwaka 77...
3. Alizaliwa na utangazaji...
4. Alivutiwa na muziki baada ya babake kuupenda muziki...
5. Watangazaji wa sasa hawana General knowledge...
6. Vipindi vya mipasho ni vya upuuzi...
7. Na watangazaji wa mipasho ni wapuuzi...
8. Kumlipa laki moja msanii kwenye show ambayo msanii kutoka nje analipwa mamilioni ya pesa ni kumdhalilisha...
9. Bongo fleva haitadumu...
10. Sauti anayoikubali katika redio ni ya Milad Ayo...
11. Kipindi bora kwenye TV ni mkasi...
12. Mpaka anafika la saba alikuwa hajui kiswahili...
14. Anamkubali sana Aally Kiba...
15. Diamond hafiki hata chembe ya kipaji cha Ally Kiba...
16. Alikacha kuitangaza habari ya kifo cha Laurent Desire Kabila kwa kuwa haikuwa imeandaliwa, japo aliletewa na bosi wake...
17. Anajivunia kuwa TBC...
18. Anajivunia pia knowladge ya muziki alionayo...
19. ameoa mara 3...
20. Mke wake wa mwisho 2005,,,
21. ana watoto 8...
22. Wa mwisho ana miaka 21...