Majibu 22 aliyoyatoa Masoud Masoud katika Mkasi...He is Maestro

masoud masoud ana watoto wazuuriii jamani cc
FaizaFoxy ila hajasema ana wajukuu wangapi?

Nafurahi umenialika.

Namjua sana Masoud, mmoja wa wake zake aliyewahi kuoa ni jirani yetu pale Udoe. Huyo hi msanii tu aka tapeli. Utaoaje halafu umwache mkeo kwao miaka yote?

Masikini Fatma, alikuwa akihangaika kumsaidia Dadake Marehemu Bi Khadija, kuuza umamalishe kwa kutelekezwa na huyu msanii.

Huyu kwao ni Shinyanga na alikuwa Maalim wa madrassa, asidanganye watu kuwa "alizaliwa na utangazaji". Redio ipi?mmlishawahi kuisikia Redio Shinyanga ?

Masoud tapeli na cha-pombe. Tumjuae hatudanganyiki.

Marehem Shufaa, Dadake Fatma tumekuwa nae ingawa alikuwa mdogo kidogo kwangu, nawajua ukoo mzima. Kuanzia Hussein Yanga, Marehemu Farid, Marehemu Ahmed Yanga, Marehemu Shufaa, Marehemu Abuu, walio bak, Fatuma na Mani.

Sifa kubwa ya MM ni sauti na Maneno matam, sifa kuu ya matapeli wote. Zaidi ya hayo hana analolijuwa zaidi ya kuwa hi kufundisha madrassa hapo zamani za kale. Na Quran aliitupa kwa kuwa cha-pombe nayo imemtupa.
 
Sio kama zembwela kunasiku alifanyiwa interview nasalama watu wakasifia oohh anajua kujielezea sijui nini apo kwa masoud nazani ni brek ya mambo yote dah utazani google bwana salama wale ndoo watu unaotakiwa uwahoji sio kina watoboa pua
 

Nachokupenda wewe faiza foxy huwa hupepesi macho, kweli Masoud ni mtu wa shinyanga hata Mimi namfaham ila hayo mengi umenifunulia,kuwa alikuwa maalim wa madrasa hilo pia nalifaham
 
Last edited by a moderator:
Nyongeza tu: 1.Kiba 2.Marlow (niliwahi kumsikia kitambo sijui yuko wapi) na yule mtoto wa Morogogo (aliimba masogange).

anaitwa bele 9 nilisikia wafu fm wamemhujumu!
 
Sio kama zembwela kunasiku alifanyiwa interview nasalama watu wakasifia oohh anajua kujielezea sijui nini apo kwa masoud nazani ni brek ya mambo yote dah utazani google bwana salama wale ndoo watu unaotakiwa uwahoji sio kina watoboa pua


Zembwela mavi matupu...
 
Kweli nimeamini, mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe...# Diamond yupo juu kwa sasa.
 

Bi Faiza huyu MM namkubali sana kwenye utangazaji. Shukran kwa kutujuza hayo mengine. Mungu amsamehe
MM nadhani kwa sasa ndie radio personality mahiri kuliko wote bongo. Jamaa anaijua kazi yake na he's very knowledgeable
 
yupo juu huwezi fananisha diamond na ally kiba hata siku mmoja
 
Nasikia kuna mtangazaji anaitwa Wasiwasi nani sijui...je unahisi ana uwezo wa kujieleza na kujibu maswali kama alionao Masoud Masoud?

Wasiwasi Mwabulambo ni vyema akajitathmini huenda ana hidden potential lakini siyo utangazaji ni kichefuchefu tupu kama Georgeeee Maratoooooooo wa I.TE.VEEEE.

Huwa nasikia kinyaa nikiwasikia watu hawa.
 
ugetaja majina yao tukawa google tujionee wenyewe

ha ha the boss jamani ninavyosema wazuri ni wazuriiiiiiiiii haswaaaa mi sisifiagi ovyo ila siku nliyowaona nkabaki naduwaaaaa wale wanaochorwa bambataa la haja,hips sura nzuri,jicho nywele,mguu,daam nlikuwa nakaa nao rum moja yaani akivua nguo balaa tulikuwa tunawasashangaaa yaani kila kitu bombaaaa mkubwa zuwena masudi mdogo nuru masudi nuru unaweza kjmgoogle ukampata ila zuwena jamaniiiiiiiii mzuriiiiiiiiiiiii sidhani kama utampata
 

nami nimekualika sababu najua unamfahamu vizuri sana na sigara masoud.Ndo mara ya kwanza kuona baba anamnunulia mtoto sigara na pombe wanaenda disko pamoja eti uzungu anampenda mwanae yule mama jamani na biriani lake ila mashaallah mama yule ana roho yake mie nlikuwa nimepanga pale ghorofani kwa mama shuu naye mama ntilie alikuwa anatuletea wali kila siku na biriani bureeee ili mradi tumfundishe mtoto wa marehemu ndugu yake naye aelewe masomo
 


mimi nimesikia wewe ni mzuri
sasa kama hao ni wazuri wa wewe kuwasifia hivi
basi balaa lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…