Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Kwahiyo mnapambana na Athari za unafki wake...
unafiki haunaga athari in nature gentleman na kwahivyo unafiki wa huyo muungwana ni katika kuweka records vizuri tu.
huna haja kushupaza shingo dhidi ya unafiki wa huyo muungwana 🐒
 
sababu Mchakato wa sasa ndani ya CCM ni wa haki kabisa ambapo kila mtu alipata nafasi ya kuchukua Fomu kujaza na kurejesha .kisha vikao vya wilaya na mkoa kufanya mapendekezo yake ya wagombea watatu
⏱️100 alichukua form lini kaka?
 
Wewe ni mjinga mmoja tu. Hii nguvu ya kuandika ingefaa kama ungetumia kutafuta ugali wako. Kapuku na jinga unapoteza muda kutetea matapeli. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Acha uongo wako hapa wewe.
 
Wewe ni mjinga mmoja tu. Hii nguvu ya kuandika ingefaa kama ungetumia kutafuta ugali wako. Kapuku na jinga unapoteza muda kutetea matapeli. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Utachukuliwa wewe na ujinga wako.
 
🐷🐷🐷
Guruwe la Mama linajitutumua kumjibu Balozi😂😂
 
Sijali taja kanisa pia japo uliwatishia viongozi wa dini kama akina Bagonza na wenzie, aliwahi kutishia kutoza kodi kwenye sadaka na michango mingine ya kanisani. Msajiri wa asasi za kiraia akitumika sana enzi hizo.
sijakuelewa.
 
💩💩
 
Hata sijasoma
Yani majibu marefu kuliko barua yenyewe, bullshit 🚮🚮
 
Vp kuhusu haki za raia?Vp kuhusu kuuzwa kwa bandari zetu ?Binafsi naona kama unapiga tu kelele
 
Hoja yangu ipo juu ya uwezo wako wa kufikiri
Huna hoja yoyote na uliyoyaandika hapo mwanzoni nina uwezo wa kukujibu vizuri sana.
Kinachokusumbua wewe ni malezi ya utotoni. Uliishi kwenye familia ya migogoro ambayo Baba na Mama yako hawakuwahi kuwa na maelewano/Ulilelewa na Mzazi mmoja /Inaonekana ulikuwa unafanywa kituko na kudhalilishwa na ndio maana hata unachokiandika hapa ni ujinga mtupu kwenye hoja na mijadala inayohitaji uchambuzi na ufafanuzi wenye hoja.

Hushangai unaandika andiko refu na unaishia kudharaulika na kukejeliwa? Usikubali kufanywa kituko mitandaoni kwa kila unachokiandika, ulivyofanywa kituko wakati unakuwa usikubali kuendelea kufanywa kituko mpaka leo. Kuwa huru kimawazo kusifia kuliko pitiliza katikati ya watu wanaoona uhalisia wa hali ilivyo na inavyoendelea kwa mustakabali wa Taifa letu hiyo ni athari uliyoipata wakati wa makuzi yako.

Unaweza ukawa ni kada mtiifu kwa chama chako lakini uwe unaandika hoja zilizoeleweka na unatakiwa ujifunze kwa mtu kama Uncle Paschal Mayala, Kada wa Chama, Mwandishi wa habari na Wakili Msomi.

Muda wa kukujibu hoja zako ni matumizi mabaya ya muda, lakini tutaendelea kukuelekeza. Mabadiliko ni mchakato na kukubali kuacha mazoea ni kuwa tayari kupitia maumivu makali.

Raisi Samia ni Raisi wa Watanzania wote na ni Mama wa watoto wake sio Mama yako kama unajinadi humu bila aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…