Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Hili bandiko hujakusudia kumjibu pole pole,umekusudia kumpiga kampeni mama yako wakati muda wa kampeni bado,unatakiwa ujibu hoja za utekaji,ufiraji,uawaji na mali za watanganyika walizopewa waarabu na wachina,ukimaliza hapo NO REFOM NO ELECTION ipo pale pale.
 
huu uchawa utakuja kupata hata u - DC mkuu
 
Mwenyekiti wa chama, Mh anafanya kazi kubwa sana kwa maslahi mapana ya taifa.
Nimeleta uzi hapa kuelezea namba anavyoambana kukuza uchumi wa taifa letu. Vijana inabidi kuamka, ndo msingi wa taifa letu. Tuunge mkono juhudi
 
Andiko ni kwa ajili ya wanaojitambua.
Wewe ndio hujitambui na unapenda kutafuta attention ambazo hazikuletei mkate hapo mezani kwako.

Kiherehere na uchawa wakati mwingine huwa vinauzalilisha hata utu wako. Barua ya Polepole inahitaji muda wa kuitafakari na kisha kuijibu na kwa mtu kama wewe ambaye matatizo yako nimeyaeleza huko juu.

Punguza au acha Kiherehere kwenye mambo ambayo huwa uwezo nayo, barua ya Polepole huna hoja ya kujibu zaidi ya ulichokiandika leo ni viroja tu.

Upotoshaji wenu na hoja zenu za kichawa kesho zitajibiwa na Polepole mwenyewe.

Lucas hiyo barua aliyoandikiwa Raisi Samia hajaijibu lakini wewe kwa kupenda sifa za kijinga umejifanya kuijibu.

Tusubiri ufafanuzi wa ile barua kutoka kwa Polepole mwenyewe. Maana hata Mamlaka za uteuzi wake hazijaijibu tusubiri ufafanuzi wake.
 
Uraisi hauna maana yoyote kama hayo matukio yanatukia ndani ya nchi unayoiongoza
 
Kwani sisi hatuna akili mpaka tusubiri ufafanuzi wa polepole mnafiki? Acha umbumbumbu wako hapa wewe.
 
Kwani sisi hatuna akili mpaka tusubiri ufafanuzi wa polepole mnafiki? Acha umbumbumbu wako hapa wewe.
Nyinyi kama kina nani?
Mamlaka ya uteuzi wake haijajibu
Acheni uchawa na kujipendekeza.
Subiri ufafanuzi kesho.
 
Kwani sisi hatuna akili mpaka tusubiri ufafanuzi wa polepole mnafiki? Acha umbumbumbu wako hapa wewe.
utekaji,ufiraji,mauaji ya Watanganyika, uporaji wa mali za watanganyika walizopewa waarabu na wachina,ukimaliza haya mbona huwa huyatolei majibu?

Simamia ukweli kama wewe una uchungu na nchi yako na raia wake sio kujipendekeza kwa watu ambao hata hawajui thamani ya uhai wa binadamu wenzao
 
Unaweza kuthibitisha huo uzushi uzungumzao?
 
Hoja zako kwenye para za kwanza na pili ni za kijinga na kipumbavu! Kama kwenye familia mlikuwa hamzikani kwa utofauti wa vyama, basi huo ulikuwa ujinga na upumbavu wa familia yenu. Watanzania hawajawahi kuwa na ujinga kama huo. Na tafadhali ujinga na upumbavu huo yawe maoni yako binafsi na yasiwe yanawakilisha maoni ya Wana CCM wenye akili timamu na wanaoamini katika umoja, amani na ushirikiano!
 
Mbona hujajibu lolote? Umeeleza tu maovu ya ccm ya miaka mingi na sifa za kijinga Kwa mama.
 
Unaweza kuthibitisha huo uzushi uzungumzao?
Wewe akili hauna na unakera sana. Tumeona na kusikia kifo cha Mzee Ali kibao, Kutekwa kwa Mdude na damu zilionekana. Kuna majibu yanayoeleweka kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu?

Ma observer kutoka Kenya na Uganda kwenye kesi ya Lissu walizuiwa uwanja wa ndege na wakaenda kufanyiwa matendo ya uzalilishaji. Amiri Jeshi Mkuu yupo kimya

Wamasai waliondolewa kwenye maeneo yao ya asili na kupelekwa Handeni huko hili nalo hulijui? Waliondolewa amepewa nani pale Ngorongoro kama sio Mwarabu?

Halafu unakuja humu unatuletea maandiko ya ******* yaani unakera ile mbaya.
 
Mimi nataka unapoongea vitu uwe na ushahidi. Nipe ushahidi wa waarabu kupewa eneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…