Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Acha matusi Utafikiri mlevi wa gongo
Ni mjinga wewe na huu ujinga unaotuletea humu lazima tukutane.
Kwenye ofisi za umma ndio kuna ujinga kupitiliza halafu na wewe mjinga unakuja kutuandikia ujinga.

Yote haya yanatokana na nini?
1. Kesi za hovyo hovyo kwa wanasiasa wa upinzani
2. Kupotea kwa raia wa Watanganyika
3. Watu wananyimwa haki zao za msingi na kibinadamu kwa sasa zipi?

Kwenye uongozi wa juu kuna matatizo na uongozi ni kutimikia watu. Sitaki kuandika mengi kwa sababu ninayekujibu ni mtu ambaye una matatizo na hauwezi ukaelewa.
 
Bila shaka huna uelewa au uelewa wako ni mdogo sana.
Hayo madhira yote uliyoandika kwenye post yako yalifanywa na Chama Gani? Hata sasa kuuwawa na kupote kwa watu kunafanywa na nani? Serikali ya ccm kwa miaka mingi inaumiza watu kupitia viongozi wake, kila Raisi anayekuja mwanzo ujifanya mwema, katikati ya uongozi wake watu wengi upotezwa au kuuwawa.
Ndugu hapa hujajibu, umeivua nguo ccm na serikali yake.
 
Unataka haki gani kwanza.
 
Mbona hujaweka namba ya simu sasaa upate chochote kitu...
 
Takataka
 
Unataka haki gani kwanza.
Tulia wewe Chawa usiwe unatuandikia ujinga wako humu. Haki tumedhurumiwa na tumeshahangaika sana na nina imani haki yangu haipotei kijinga labda niwe nimekufa.

Malalamiko yangu hata Dk Gwajima nimemfikishia kama Waziri na vielelezo vyote lakini alichonijibu hakina msaada wowote wenye ufumbuzi.

Halafu unakuja mtu kama wewe unaandika ujinga humu huwa nashindwa kuelewa sijui una akili za aina gani aisee
 
Ukamjibu na gwajima kule anamwagamwaga uzalendo wa mama
 
We jamaa akili unayo kweli,
Kila wakati unawashwa washwa na sifa za kijinga sana,
Nina mashaka hata kama unaweza kuendesha familia yako,
Watoto wanakuwaje na baba chawa ili wale?
Fanya kazi na acha kusifia vitu vya ajabu
 
Tanzania chini ya mama yako ni nchi uliyojaa mafisadi, wauwaji, watekaji, maskini, wahuni wanaouza rasilimali za nchi, huyo hafai hata kidogo kuongoza taifa hili.
Hata kama akipakwa mafuta ya yule jamaa anayotoaga kuzimu vijijini,hafai
Labda aende kuzimu mjini anaweza akashindana
 
Dah umeupiga mwingi komredi. Huu uzi wako ndo msimamo wa JF kuhusu kujiuzulu Polepole. Mods futeni nyuzi zingine baada ya huu wa komredi Mwashambwa.
 
Pole pole mmoja hadi vikojozi nao mafumbo joto. Barua kaandikiwa mwingine anayejibu mwingine ...kweli mnara unasema mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…