Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Pole pole mmoja hadi vikojozi nao mafumbo joto. Barua kaandikiwa mwingine anayejibu mwingine ...kweli mnara unasema mbali
Kwani hiyo barua ilikuwa ni siri? Kwanini asingepeleaja moja kwa moja mwenye mamlaka yake?
 
Huna akili hata robo je wajua katiba ya CCM inasemaje linapokuja swala la upatikanaji wa mgombea wa uraisi?je ni lini katiba hiyo ilifwatwa ili huyu mama yako apitishwe kuwa raisi?au unajitoa ufahamu na kuja kuharisha pumba zako!sa nyingine ongea kama mtu mwenye akili timamu usitumie kinyeo kufikiria kenge wewe
 
Tusimshambulie mtu kama kuna ambacho ameandika na si cha kweli kiainishwe.
Ni kuhusu uteuzi wa mgombea wa Uraisi ni nini kilifanya kanuni zisifwatwe?kwani ni kweli miongoni mwa wana CCM hamna mtu mwenye uwezo wa kutia nia?acheni ujinga mtaiingiza nchi kwenye matatizo kwa tamaa zenu wewe kama ni mtanzania pita mitaani ongea na watu usikie maoni yao utapata majibu acheni blaahblaah kwenye mambo ya msingi
 
Takataka
 
Jibu swali langu. Je polepole amekiri madhambi yake ? Ameyataja hayo madhambi?
Ni utaahira kuuliza swali kabla ya kujibu swali.
Kukiri dhambi anakiri kwa Mungu wake.
Kibinadamu, as long as sisi tunashuhudia anatenda mema leo tofauti na jana alivyokuwa akitenda maovu, huyo ni muongofu.
Ni mwendawazimu na kichaa pekee anayeweza kumsikiliza na kumuunga mkono mnafiki aina ya polepole.
Wakina Polepole wapo wengi sana kwa taarifa yako.
Wenyeviti wa CCM wa mikoa, wabunge, mawaziri, wajumbe wa NEC na mpaka wajumbe wa Kamati Kuu wapo wanaunga mkono "Upolepole".
Sisi tunaoishi hapa Dodoma na kukutana nao kila siku wanatueleza mengi kwa taarifa yako.
 
Hayafanywi na CCM maana chama hiki ndio pekee chenye uchungu na Maisha ya watanzania
 
Kwani pole pole ameuliza swali kwamba anataka majibu?
Na wewe unaemjibu kwani wewe ndio umeandikiwa hiyo barua?
 
Huyo Mwashambwa akili yake haipo sawa. Anawashwawashwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…