Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Hayafanywi na CCM maana chama hiki ndio pekee chenye uchungu na Maisha ya watanzania
Huyo Mama yako Samia hana uchungu na nchi hii, ana uchungu na family yake, wewe utahangaika bure hadi mwisho, acha uchawa. Hakuna rais wa ovyo aliyetokea kwenye nchi yetu kama huyu. Na hakuna atakayetokea rais wa ovyo kama huyu, wewe umezaliwa juzi nyamaza, fanya research na uliza watu tuliokulia kwenye misingi ya TANU hadi CCM, wewe unaongea pumba hadi kila mtu anakushangaa.
 
Huku ku-panic ni wewe peke yako au hata chawa wenzio nao wame-panic kama wewe?
Huu mtiririko wote uliouandika kuhusu Polepole kwanini haukuwahi kuuandika kabla hajajiuzulu ubalozi? Ghafla amekuwa na madhambi lukuki mara baada tu ya kushindwa kuvumilia na uharamia wa serikali na uchafuzi unaoendelea ndani ya chama chenu?
Vipi badala ya kukazia kwenye personal attacks dhidi yake ukajibu hoja zake? Au mmebaini kuwa hoja zake hazijibiki ndipo mkaamua kumshambulia yeye binafsi?
 
Hoja amejibiwa
 
Master mind wa utekaji polepole na genge lake wameshikwa pabaya wakiwa na lengo la kuchafua awamu hii,japo awamu iliyopita walichelewa kugundulika, Mungu kawaibua na hatokaa arudi nchini na damu za watu zitamfuata alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…