Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Jitathimini, nani ana muda wa kusoma ujinga wako? At least you would have written 4 lines
 
Eti mgawanyiko, mbona huo mgawanyiko ndio umeongezeka kabisa. Na udini umekuwa mkubwa kupindukia.
Ila we jamaa huna matumizi mazuri ya ubongo wako. Kukamilika kwa bwawq la nyerere Kuna correlation gani na kujiuzulu kwa bwana polepole?
Unamaliza miti tu.
 
Kasema atakuwa Bado mwanachama wa CCM!Hapo vipi mwana CCM?
 
Mkuu umepata mgao wako wa baiskeli ? 🤣

Hakuna mwenye muda wa kusoma hilo gazeti lako hapa
Manaumia nini Polepole kujiuzulu?
 
Nawaza juu ya kesho ya Taifa langu chini ya uongozi shupavu ,mahiri na madhubuti na siyo kuwaza habari za chai Utafikiri watoto waliodekezwa. Naona Tanzania iliyo bora sana mikononi Mwa Rais Samia.
Si mnavikao vya Chama,sisi tunafanyeje Tiss wetu?!!!
 
Tanzania chini ya mama yako ni nchi uliyojaa mafisadi, wauwaji, watekaji, maskini, wahuni wanaouza rasilimali za nchi, huyo hafai hata kidogo kuongoza taifa hili.
 
Endelea kububujikwa na machozi,yawe ya furaha au Huzuni,Ndio hivyo Tena slow slow kajilipua!
 
Ameamua kujilipua kama mwarabu au mpalestina...kizuri tu ameendelea kutufumbua macho na masikio lakini sioni umuhimu wake yeye kama yeye..labda tu ahame chama au astaafu siasa..mfano wa mtu alikuwa anatenda dhambi saana akaamua kumludia Yesu tunatarajia mtu huyo ataanza kuhudhuria ibada za kanizani..kuendelea kusema nimempokea Yesu kristo kama bwana na muokozi wa maisha yangu halafu hauhudhurii ibada mbalimbali kanisani wewe unakuwa bado ni mnafki kwa waliookoka..Polepole pale mwisho wa barua yake alipaswa aseme na nanijivua rasmi uanachama wangu pia wa CCM..
 
Chawa wa mama wanatapataoa ,wamepata tumbo la period ghafla
 
Tanzania chini ya mama yako ni nchi uliyojaa mafisadi, wauwaji, watekaji, maskini, wahuni wanaouza rasilimali za nchi, huyo hafai hata kidogo kuongoza taifa hili.
Umasikini wako utaondolewa kwa juhudi za mikono yako kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na kujitoa. Siyo kwa kupiga umbeya kwenye vibaraza vya majirani. Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kama afanyavyo Rais Samia.
 
Tanzania huenda likawa ni Moja ya Taifa ambalo wananchi wake hawajui wanataka nini. Pia huenda ndo sehemu ambapo wananchi wanasahau mapema. Hivyo ukiwa kiongozi ni kutumia kanuni ya Tonge la mwisho ndilo linalo komba mboga
 
Paulo alipobadilika kutoka Farisayo kuwa wa kristo hawakumkubali!Ndio huyu slow slow!
 
Kesho polepole ana press conference umejiandaje kumjibu ndugu lukasi anyway bandiko lako sijalisoma lote ile nimeona neno 4R,je kwako wewe R ya reforms umeona mama abdul ameifanyia kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…