Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Kesho polepole ana press conference umejiandaje kumjibu ndugu lukasi anyway bandiko lako sijalisoma lote ile nimeona neno 4R,je kwako wewe R ya reforms umeona mama abdul ameifanyia kazi?
Ndio Mama amefanya kazi kubwa sana katika Taifa hili. Ndio sababu unaona mabadiliko Chanya katika Taifa letu.
 
Pumba
 
Yaani Pole pole alimtia dole Samia hadharani, Barua ya pole pole inaweza kutumika kunyima mikopo nchi
 

Njaa mbaya sana
 
Nawaza juu ya kesho ya Taifa langu chini ya uongozi shupavu ,mahiri na madhubuti na siyo kuwaza habari za chai Utafikiri watoto waliodekezwa. Naona Tanzania iliyo bora sana mikononi Mwa Rais Samia.
Naona umeamua kueleza uozo uliomo ndani ya CCM, hiyo migawanyiko yote ilitokana CCM, na hata sasa bado huo uozo unaendelea lakini nyie machawa mna mpamba mama sababu ya buku 7, Polepole, Majaliwa, Ndugai ni mfano wa uozo uliopo kwa sasa.
Wewe endelea kugawa ndiyo fani yako.
 
Tunatakiwa kwanza kukupuuza wewe badala ya Polepole.
Wewe sio mtu wa kumsema Polepole kwani yeye na wewe wote ni walewale.
Tofauti yenu ni ni kutumika vipindi tofauti!
 
Majibu mazito hayo ni iwapo umejibebesha na mawe mazito!
 
Kagonga kwenye msumari mwenye akili timamu anajua kinacho endelea Tanzania hasa kuhusu unyumbu wa kisiasa

CCM mnatumia mfumo wa unyumbu kisiasa kuongoza nchi

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Call a spade a spade not a big spoon in that event, silence surrenders public responsibilities

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives catalyzed or influenced by flattering or hypocrisy, well defined as self-absorbed group
 
Andiko ndiyo hili au tusubiri lingine tena, jamaa kesho anakiwasha tena pale Cuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…