Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

polepole ni raia mbinafsi mnafiki asie na shukrana lakini pia ni mbadhirifu mtakatifu wa mali za umma.

ni vizuri akapuzwa tu kwasababu hana athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kiuchumi kwa taifa letu.
Leo umeandika upuuzi wako binafsi
Lakini siku ukiandika hoja yenye tija kwa wote nitakupongeza.
Hata huyo Pole Pole upuuzika wake wa zamani, siuungi mkono kama wewe (ikiwa kweli hukuunga mkono wakati huo),
Lakini kwa kuwa Sasa amebadilika anakemeea upuuzi huyo huyo namuelewa kama Gwajima alivoeleweka baadae ingawa hakuwa akieleweka.

Chagua fungu kulingana na wakati, ndio ile husema " muda utaamua",
Muda umeamua amepata kujirekebisha sio mjinga mtena yule.
 
99% ya tulo comment hapa wala hatujasoma ulicho andika hapa, vile utakuwa ni ujinga ujinga tuu kama kawaida yako.

Mtu kajiuzulu na amemuandikia barua ya kujiuzulu aliyemwandika kazi. kama siyo kiherehere cha kujipendekeza ni nini.

weka number yako basi uteuliwe wewe kuchukua hiyo nafasi
 
mtu mnafiki kama polepole hua hawez kujirekebisha gentleman.

kwa faida ya wadau wa jf na wanasiasa kwa ujumla, nashauri muungwana apuuzwee ili kuepuka kupotezewa muda tena na Lakini pia kuepuka utapeli wake wakati mwingine 🐒
 
Hizi takataka ulizoandika sio Majibu ya hoja alizobaniisha Polepole, wewe una compare and contrast awamu ya tano Kati ya Magufuli na Samia. Awamu ya Sita bado kwa mujibu wa Katiba
Sija fananisha bali nimejibu hoja . Mfano nimeeleza haki inavyotendeka katika mchakato mzima wa wagombea ubunge na udiwani
 
mtu mnafiki kama polepole hua hawez kujirekebisha gentleman.

kwa faida ya wadau wa jf na wanasiasa kwa ujumla, nashauri muungwana apuuzwee ili kuepuka kupotezewa muda tena na Lakini pia kuepuka utapeli wake wakati mwingine 🐒
Polepole ni mtu mnafiki sana.
 
Mtu akisoma haya ataona kama ni Amos aliyekuelekeza cha kuandika hapa.
 
Mabadiliko yapi mnayoyataka
Haki ndio msingi wa kila kitu mkuu,ndugu zetu wengi wameuwawa,wametekwa na wengine hatujui wako wapi na watu wenye mamlaka hilo hawalioni wanajibu kwa kejeli kwa kuwa familia zao na wao zinalindwa na bunduki 24 hrs ,Leo lisu ana zaidi ya siku 90 gerezani kwa kesi ya kubumbwa na hao wanaokububujisha machozi ,je just imagine if lisu angekuwa ndugu yako ungeifikiriaje hii serikali.mnatengeneza chuki na visasi kwenye mioyo ya watu wengi sana na matoke yake soon mtayaona
 
Wewe ni KILAZA na Bogas - Umeandika Uwaro Mtupu, Endelea kujipendekeza Tu PIMBI weeee
 
Kuhusu Lissu acha sheria ichukue mkondo wake na ukweli ubainike.
 
Kwa usenge huu ndio ulituaminisha jana taifa litatikisika?,hata makalio yako hayajatikisika sembuse taifa,kenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…