jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Mchungaji Msigwa ametweet kwa mbwembwe sana na huwa nashangaa kwa nini haji kupost humu JF kwa Great thinkers?
Amesema Bunge lilitekwa,Mahakama ilitekwa,wanahabari wametekwa na sasa Kanisa limetekwa(sijui aamaanisha hadi kanisa lake??)
AMESAHAU:wabunge wa chadema walitekwa,wasanii wametekwa,wamachinga walitekwa,bodaboda wametekwa,vijana wametekwa,wanavyuo wametekwa ,walemavu wametekwa na kina mama ndio usiseme
Kwa kumjibu niseme kuwa CCM ya sasa ina uwezo mkubwa wa ushawishi (kuteka)kwa makundi mbalimbali ya kijamii na walifanya juhudi kubwa kuwateka kwa sera na utekelezaji uliotukuka.
KUTOKA CHAMWINO NA CHIMWAGA DODOMA!