Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

alifukuzwa au aliahirisha mwaka?
 
tunatak tupate ufahamu mkuu,ili tumalize utata mara wengin wanasema alifukuzwa,wengine wanasema aliahirisha mwaka,msaada mkuu kama una ufahamu

walimfanyia fitina mkuu, kwani akiwa chuo tu aliweza mtingisha yule mbunge sujui keenja vilivyo kwenye uchaguzi, in short alishinda ila walimchakachua kura na ndio ikawa mwisho wa chuo
 
Wewe mwenye degree imekusaidia nini wakat unashindwa kuwa na uelewa mdogo tu wa mwanafunzi wa chekechea kuwa mfumuko wa maisha umepanda sana,unashindwa kuelewa tu kuwa taasisi ya raisi imekuwa ni sehemu ya vijiwe vya kahawa,unashindwa kuelewa tu raisi na mamlaka zake hawana uwezo wakuongoza ndio maana hawajui kwa nini nchi ni maskini...hapa hoja ni AKILI TIMAMU kwa sababu hata ukiulizia uwezo wake wa darasan,wewe hujawahi kufikia na wala hajatokea katika ukoo wako mzima na hatatokea wakufikia mafanikio yake kielimu toka shule ya msingi...
 
Kenye blue ni kweli kwenye red uongo. Mnyika akuweza kupata hata division 2 form six. Na ndiyo maana Mnyika mwenyewe huwa anakwepa kujibu swali hili na kuwaachia wapambe wake wajibu. Anaelewa wazi kwamba uongo huu ukisemwa na wapambe hauna madhara kwae. Lakini uongo huu akiusema yeye mwenyewe una madhara kwake.

Aje John Mnyika hapa aseme kama alipata division 1 form six Tambaza.
 
Swala la elimu na uwezo wa kuongoza ni vitu viwil tofaut,uwezo tu wa kujenga hoja na kuzitetea kwa fact ni elimu tosha,sio wote waliopita shule waliwekeza kichwani!!kamanda mnyika alimwita jk dhaifu,swal je udhaifu wa jk nan mwenye uelewa hajaliona hilo:what::what:sasa hapo kamanda na le dr.professer jk nan kilaza!!!!!
 
Matokeo ya kidato cha nne yanatoa taswira ya upeo wa mwanafunzi yoyote kwa ufaulu wake inaonesha ni bright
 
Tumefika hapa tulipo kwasabau ya Udhaifu wa JK....Mnyika
 
Hakufukuzwa kwa utovu wa nidhamu bali kwa kusema spade is a spade na wala sio kijiko kikubwa. Kama alivyosema Prof ni Dhaifu
 
Mnyika A level alikuwa anafanya kazi na kusoma inakuwa vigumu kupata A wengi wetu hata chuo kusoma ni next tu impossible Kama una kazi !!
In short hata chixi hawezi bisha kuwa mnyika ni bright
 
Wewe mtoa Maada inaonyesha wazi huna upeo mkubwa wa kufirikiri ndo maana umefikiria hayo wakati kuna mengi kwa faida ya nchi
 
Wewe kama kiongozi basi una majukumu ya kusema ukweli.
Tunataka na tuna haki ya kujua kwanini umesema uongo (au kwanini umeruhusu uongo usemwe) juu ya elimu yako kwa miaka kadhaa?
Waliokuwa wanakutetea kwamba una degree ya UDSM sasa wameshabadilika na wanasema kwamba ulifukuzwa kwa utovu wa nidhamu badala ya kusema kwamba ulisimamishwa kwa sababu ya kufeli.

Tunataka kujua majibu ya maswali yafuatayo. (nimepiga simu yako haikuwa hewani)

1. Jee ulipata division one ya point 3 form six pale Tambaza secondary school?

2. Jee una degree ya somo/fani yoyote ya UDSM?
 

Uongozi ni kipaji.SAWA KABISA. Lakini falsafa na makandokando ya dunia na ulimwengu yanalazimisha,KIPAJI KIUNGANISHWE NA ELIMU KUCHCHEA UFANISI. Kama Mhe.John Mnyika hajasoma elimu yenye kuthibitishwa kuwa na SHAHADA ya UDsm,namshauri na kumwomba achukue likizo kwenye siasa,akachimbe.Mrema na Mbowe walifanya hivyo.Tafadhali.Mnyika ni TUNU,THAWABU na HAZINA ya Tanzania.Anakishiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…