Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Yaani hata mimi, nafika mwisho sijui mara JJ. Duh huyu Mh balaha sana.
 
Naona sasa ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa chama chake.

Itakuwa vigumu kwake kuwa na muda wa kusoma.

Ila naona anafaa kuwa katibu mkuu wa chama chake.

Vijana wa Dar na maeneo mengine watamuunga mkono.

Nadhani chama chake kimepata safu mpya ya viongozi wa ngazi ya taifa ambayo ni nzuri.

Safu ya viongozi wa ngazi ya taifa ya chama cha kijani nayo ni nzuri.

Kiongozi wa chama cha zambarau yuko vizuri kwenye social media (especially Twitter), na ana mahusiano mazuri na baadhi ya CSOs, na pia baadhi ya donors.
 
Mnyika Mmoja ni Sawa Sawa na SSM yote kuanzia Mwenyekiti Mpaka Balozi wa Nyumba Kumi Kumi
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Lusinde nae aweje cv hapa..mnyika udsm alikuwa kipanga yaan yuko vizur upstair mpaka jokate DC wa kisarawe akamzimikia mnyika akawa anampa papuchi baada ya kumpiga chin ridhiwani na couple ya mnyika na jokate ilikua stable mpaka jokate akajiita "jojo" yaan john&jokate
 
Weka entry qualification za chuo kikuu hapa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukijibiwa hii naomba unijulishe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoelewa Mimi, Mnyika ameahairisha masomo na hajarehea chuoni kumalizia shahada yake kwa zaidi ya miaka saba.
Kwa maana hiyo, John Mnyika ni Form six leaver
 
..hudhani kwamba uzoefu alionao ni zaidi ya masomo na cheti cha shahada ya chuo kikuu?
Joka Kuu umesema kweli, Leo hii tunawaona vijana wetu wenye shahada ya masters wengi tuu. Lakini katika uhalisia pamoja na kuwa wako fresh kabisa na vichwa vyao havija haribiwa na ya ulimwengu ni nadra sana kukumkuta mwenye uelewa mpana unaokaribiana na Mnyika.
Tuache hao vijana, nenda Bungeni ambako kuna utitiri wa shahada na mashahada lakini wangapi wanalingana na Mnyika?
Kuna wakati Spika Makinda aliwahi kutamka kuwa "huyu mtoto wangu Mnyika ananisumbua sana na kunisaidia sana katika kazi yangu".
Jee appreciation hiyo angeweza kuitoa kwa mtu mjinga? Ni wazi hata kuchukua shahada kwa Mnyika ni formality tuu lakini it'll change nothing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasoma miaka mitatu hakupata digrii Hana digrii.
Akili anazo anaendekeza siasa
 
Nilichoelewa Mimi, Mnyika ameahairisha masomo na hajarehea chuoni kumalizia shahada yake kwa zaidi ya miaka saba.
Kwa maana hiyo, John Mnyika ni Form six leaver
Huo ndio ukweli Ni form six leaver mwenyekiti.wake Mbowe form six division zero ya ihungo sekondary ndipo alipoipatia division zero yake
 

..angekuwa hajafikia ngazi ya ubunge ushauri kwamba akachukue shahada ya chuo kikuu ungekuwa na maana.

..lakini kwasababu ni mbunge, tena wa kipindi zaidi ya kimoja, basi tunaweza kusema amepata ELIMU YA VITENDO.

..Kuna wanasiasa na viongozi kama RASHIDI KAWAWA ambao elimu yao waliipata field, ktk medani ya siasa.

..Kawawa aliwahi kuwa Waziri Mkuu, Waziri wa ulinzi wakati wa vita vya Kagera, Katibu Mkuu wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM. Sasa kiongozi kama huyo, elimu na maarifa aliyokuwa nayo, hayapatikani kwa kukaa darasani ktk chuo kikuu chochote.
 
haya sasa, ni zamu ya nape na rizone kuweka cv yao hapa. asante sana mkuu. mia
Ridhiwan elimu yake haina shaka, amesomea sheria pale mlimani kwa kubebwa sana, amshukuru sana beno malisa na akina nehemia kwa kuhakikisha anakaa katikati ya watu makini wakati wa mtihani ili asije dondokea pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…