wa tanzania tujijengee dhana ya kukubali kushindwa,kama umshindwa jipange na tufight kwa nafasi zijazo, ivi leo ungekuwa wewe ndio umeshinda nafasi iyo ungelumu ivo unavolaumu? Tujifunze mazuri kutoka kwa wenzetu mfano leo hii arsenal ikefungwa wenger maramoja anakubali kuzidiwa ujanja na utamsikia akisema tunajipanga kwa mechi ijayo lakini nadra sana kumsikia akimlaumu refa au chama cha soka cha uingeleza, kinyume na kwetu ukiona yanga au simba imefungwa basi lawama kwa refa au tff, dhana hii inahamia ssa ata kwa wasomi wa tanzania, jua kwamba hata mkiwa mnashindana watu wawili kwenye interview kuna uwezekano mwenzako ndio atakaeshinda na sio wewe.tukubali kushindwa