mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Unakuta mtu anauza kitu cha 500k, anatokea mkuu na kusema, "mkuu chukua 150k ipo kwenye mfuko wa shati"
Njoo pmUzi bila picha ni batili
hivi ni kweli hii ishu ya buku 7 mkuu?Mkuu kachukue buku 7 yako lumumba maana umejitahidi sana kuifanya kazi waliyokutuma
hii kauli ya mfuko wa shati inanifurahishaga sanaUnakuta mtu anauza kitu cha 500k, anatokea mkuu na kusema, "mkuu chukua 150k ipo kwenye mfuko wa shati"
hahaha" Mkuu wewe ni wa kufungwa jiwe kubwa kiunoni alafu utupwe katikati ya bahari"
Nilicheka kinoma. Sema nahisi users wa JF ni watu wenye stress nyingi 😂