Majibu PSPF yametoka?

Majibu PSPF yametoka?

pinochio

Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
26
Reaction score
3
Wanajamii naombeni mnisaidi nilifanya interview ya PSPF je kwa waliofanya kuna walioitwa tena?
 
Wanajamii naombeni mnisaidi nilifanya interview ya PSPF je kwa waliofanya kuna walioitwa tena?

walisema kabla ya november wangetoa shortlist ya 2nd round..lbd next week watatoa...si unajua kusahihisha pepa tena then si unaikumbuka ile nyomi ya cku ile pale duce!
 
Wanajamii nilifanya interview SEDA arusha kuna alieitwa wenzangu?
 
Back
Top Bottom