Majibu: Rais yupo sahihi anaposema kuna watu wameficha pesa ndani kuihujumu serikali

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Magufuli anaposema watu wameficha pesa ndani hakurupuki.

1472822668444.jpg

Jana tumesikia raisi akitishia ku print pesa mpya ili kuwatia hasara wale wanaomuhujumu kwani mazingira yanaonesha kuna watu wameficha pesa majumbani kwa makusudi ili kuleta hitilafu zakiuchumi hewa,hizi ni hitilafu hewa kwani BIOT wanapofuatilia pesa zilizo ruhusiwa kwenye mzunguko wataona zipo kwenye kiwango kinachohitajika lakini mtaani wananchi wanapiga kelele pesa hakuna.

Tukubali tukatae matajiri wakubwa kadhaa wakiamua kuzibana pesa zao majumbani ni lazima uchumi utatikisika na hata kutokea deflation kali na yenye madhara kwa mwananchi mmojammoja.

Juzi hapa tumeshudia Tanzania ikikumbwa na uhaba wa sukari lakini ilikua inasekana(uvumi) aliyesababisha tatizo lile ni super dealer bw Za.karia.Wengi watasema sera za Magufuli lakini huyu jamaa alikua na mchango mkubwa sana kwenye sakata lile.Ni tajiri mmoja tu lakini aliitikisa nchi.

Kuna watu wanasema pesa hakuna mtaani kwasababu mafisadi waliamua kununua asset kama viwanja na majumba yakifahari ndio maana pesa hakuna.Hoja hii haina mashiko kwani kama hizi asset zimenunuliwa ndani ya nchi hii ni currency circulation ya kawaida ya ndani tafsiri yake ni kwamba pesa imehama kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine ndani ya nchi hivyo ilipaswa kuwepo.

Kuna watu wanasema pesa hakuana mtaani kwasababu mafisadi walipoona raisi hatabiriki walihamishia pesa nje ya nchi.Hili nalo haliwezekani kwani nje ya nchi watu hawahamishi madafu(tsh),kama kweli chanzo ni hiki basi nchi ingepata changamoto ya akiba ya dola kwani ndio zingepungua nchini.Tafsiri yake ni kwamba kama mtu alikua na tsh akitaka kuhamisha lazima a change kwanza kutoka tsh kwenda dola hivyo iko palepale kwamba angeacha tsh nchini na kuondoka na dola.

Kuna watu wanasema pesa hakuna kwasababu serikali inazo yenyewe kwani sasa wanakusanya kodi sana na huku imebana matumizi.Hapa kama chanzo ni hiki Raisi asingepiga kelele.Lazima ifahamike raisi kupitia BOT hasa kutokana na sasa account zote za serikal pamoja na taasisi zake zipo BOT,BOT inafahamu kiasi cha pesa ambazo serikali imezikumbatia kwa sasa,lakini pia BOT inafahamu imerusu kiasi gani kwa ujumla kuingia kwenye mzunguko na inapotizamwa inaonekana kabisa kwamba ukiondoa pesa ambazo serikali imezikumbatia kwenye account zake bado kunatakiwa kuwe na pesa mtaani,lakini sasa hakuna,pesa iko wapi?

Kama pesa hizi zingehifadhiwa kwenye ma bank,mabank yasingelalamika ukata uliopo sasa.

Watu wanalalamika pesa hakuna,Ma bank yanalalamika pesa hakuna,hii pesa imekwenda wapi kama si ipo majumbani kwa matajiri wa chache?

Hitimisho.

Ni dhahiri nje ya hujuma,sio rahisi mtu akihifadhi tsh ndani kwani tsh haiko stable hivyo kwa vyovyote vile kama mfanya biashara akiamua kuhifadhi pesa zake kwakuhofia usalama wa pesa zake kutokana na sera za serikali ya awamu ya tano lazima ahifadhi dola na si tsh kwani dola mara nyingi iko stable na hupanda thamani hivyo ni faida mtu kuhifadhi dola badala ya tsh ambayo wakati wowote inaweza kushuka thamani.

Yeyote aliehifadhi tsh ndani mpaka kupelekea hii nakisi inayoonekana sasa huyo analengo la hujuma na hila kwa serikali ya awamu ya tano kwani anachokifanya hakina faida kwake na hapa ndipo raisi yuko sahihi anaposema kwamba kwa vyovyote atakua anahujumiwa.

Kuhifadhi pesa nyingi ndani ni risk mfano wizi na majanga ya moto,lakini mtu amediriki kuzihifadhi ndani kwa faida ya nani kama sio kumkomoa Magufuli?
 
Dah matokeo ya elimu yetu haya, kwel kwa wasomi kama wewe sisiemu itatawala miaka 5000..
 
Good analysis ila nyumbu hapa hawataelewaa...Ungeandika hakuna pesa iliyofichwa ndo wangekuelewaaa
 
Yaani mtu akubali kuhifadhi fedha bila kuitumia wala kuizalisha, pesa yenyewe inashuka thamani kila siku kwa lengo tu la kumkomoa Magufuli?
 
dawa ya deni ni kulipa..Huwezi ukawa unadaiwa halafu unawaletea kifhere here wanakudaiii

Good analysis ila nyumbu hapa hawataelewaa...Ungeandika hakuna pesa iliyofichwa ndo wangekuelewaaa
Humo kungekua na terminology za zakiuchumi hata kama wanaosoma hawaelewi angepiga makofi,mtu anapinga lakini hashauri chochote,kweli umasikini wa akili ni umasikini mbaya kuliko wote.
 
Me nashauri badala ya raisi kutumia mbinu ya kuchapisha pesa mpya ni bora Akamate walioficha pesa majumbani kisha azigawe hizo pesa zilizofichwa kwa wananchi kama alivyofanya kwenye sukari
 
Yaani mtu akubali kuhifadhi fedha bila kuitumia wala kuizalisha, pesa yenyewe inashuka thamani kila siku kwa lengo tu la kumkomoa Magufuli?
Huyo jamaa sijui kasomea wapi?! Watu wanaposema hakuna pesa wanamanisha bidhaa na huduma haviudhiki na havinunuliki! Uwezo wa kununua kwa matabaka fulani umeshuka na kukosekana! Na hili linakuwa na sababu material kama ukosefu wa ajira na mfumko wa bei. Na siyo sababu za kuropoka kama "wameficha sukari" : na tena eti "wanachezea maisha yao" . Na sasa anakuja na hoja nyingine ya "wameficha pesa". Baada ya kutamka kuwa wanaolalamika pesa hakuna ni wapiga dili. FALSAFA YA MUAFRIKA "on every problem, there is a man behind" . Angalia FALSAFA YA MZUNGU "on every problem there is a solution behind". Mliomchagua huyu mtu mna kazi ya ziada kumtetea. Ila lililo wazi ni kuwa taifa limepata pigo kutawaliwa na mtu kama huyu. Mtu visionless kabisa.
 
Jibu kwa hoja,kosoa,shauri lengo sio CCM,CDM,CUF tatizo hili haliathiri CCM lina athiri taifa zima.
Wewe unataka kufananisha uhaba wa sukar na pesa? hamna hoja uloweka hapo
 
Raisi anatakiwa ajifunze kwa yanayomtokea kwa sasa Nicholas Maduro wa Venezuela. Sera mbaya za kiuchumi zitamgharimu muda si mrefu. Mwanzo huyu Mh alitwambia kua ambao hawana pesa ni wale wasiofanya kazi sasa hivi amekuja kivingine. Nchi haiongozwi kwa kubahatisha.
 
Huyo jamaa sijui kasomea wapi?! Watu wanaposema hakuna pesa wanamanisha bidhaa na huduma haviudhiki na havinunuliki! Uwezo wa kununua kwa matabaka fulani umeshuka na kukosekana! Na hili linakuwa na sababu material kama ukosefu wa ajira na mfumko wa bei. Na siyo sababu za kuropoka kama "wameficha sukari" : na tena eti "wanachezea maisha yao" . Na sasa anakuja na hoja nyingine ya "wameficha pesa". Baada ya kutamka kuwa wanaolalamika pesa hakuna ni wapiga dili. FALSAFA YA MUAFRIKA "on every problem, there is a man behind" . Angalia FALSAFA YA MZUNGU "on every problem there is a solution behind". Mliomchagua huyu mtu mna kazi ya ziada kumtetea. Ila lililo wazi ni kuwa taifa limepata pigo kutawaliwa na mtu kama huyu. Mtu visionless kabisa.
Mkuu hapa ndipo inatafutwa sababu ya hicho unachosema bidhaa haziuziki

Tatizo lako unachanganya madesa,watu hawazungumzii inflation.Na kama hujui hali ya watu kukosa uwezo wakununua bidhaa hupelekea kushuka kwa bei ya bidhaa(deflation) na sio mfumuko wa bei(inflation).Sasa watu wanalalamika hawana pesa hizo bidhaa zitapandaje bei?Wafanya biashara walalamika bidhaa haziuziki then zipande bei?Halafu unashangaa elimu yangu!
Nchi sasa inakabiliwa na deflation na sio inflation mkuu.

Kama jambo hujui uwe unauliza sio unakurupuka.Chukua mfano leo mtu anatangaza kuuza nyumba milioni 50 na anahangaika kutafuta wateja hakuna na huku anashida unafikiri atapandisha bei au atashusha bei?
Mimi nimeshuhudia mtu kauza nyumba ya thamani kubwa kwa bei ya hasara kabisa kwani alikua na shida wakati kila mtu analalamika hana pesa,mwisho aliamua auze kwa hasara ili atatue kero zake,hii ndio deflation yenyewe.

Kingine unatakiwa ufahamu hata Ma bank kwa sasa wako kwenye taharuki kubwa kwani thamani ya dhamana ambazo wafanyabiashara walichukulia mikopo mfano mwaka jana,leo thamani yake imeshuka kiasi ambacho wafanya biashara wengi walioyumba kibiashara kutokana na hali ya sasa na kushindwa kulipa mikopo yao,kuna hatihati hata wakiuza dhamana hizo wasirudishe pesa zao kwani itawalazimu wauze kwa bei ndogo.

Kabla huja comment chochote fikiri kwanza mtu unashindwa hata kutofautisha kati ya inflation na deflation halafu unaleta mbwembwe kibao
 
Yaani mtu akubali kuhifadhi fedha bila kuitumia wala kuizalisha, pesa yenyewe inashuka thamani kila siku kwa lengo tu la kumkomoa Magufuli?
Mkuu kwani yale mabilioni yaliokua yanasemekana kuhifadhiwa kwa muda mrefu huko uswisi iliwezekanaje?Mbona unauliza ,mwaswali rahisi sana?Kwasababu hata kama kukiwa na interest flani wanapata kwakuweka hizo pesa kwenye fixed account haiwezi kuwa sawa nakufanyia biashara kwavyovyote biashara ingeingiza pesa nyingi zaidi.
 
Kama unazungumzia nyanya na maembe ntakuelewa! Maana yenyewe ukichelewa yanaoza! Ila kama unataka kusema eti, mfano, bei ya sukari itashuka kama watu watashindwa kuinunua kwanini nishikushangae?! Mtu anunue sukari mfano kwa elfu 1 na ukijumlisha na kodi zote na gharama zote, kilo moja imemgharimu sh. 4000. Halafu una maana uwezo wa kununua ukishuka basi na yeye atashusha sukari na kuuza 3000 au 2000?! Ili akanunue mboga au ili iweje?! Hapo kwa nini usikaguliwe vyeti?! Mtu unakuja na majibu mepesi kwenye swali gumu.! Basi mwambieni atoe amri kila mwenye pesa nyumbani akajiandikishe kwa balozi!
Mkuu hapa ndipo inatafutwa sababu ya hicho unachosema bidhaa haziuzimu yangu!
Nchi sasa inakabiliwa na deflation na sio inflation mkuu.

Kama jambo hujui uwe unauliza sio unakurupuka.Chukua mfano leo mtu anatangaza kuuza nyumba milioni 50 na anahangaika kutafuta wateja hakuna na huku anashida unafikiri atapandisha bei au atashusha bei?
 
Kama unazungumzia nyanya na maembe ntakuelewa! Maana yenyewe ukichelewa yanaoza! Ila kama unataka kusema eti, mfano, bei ya sukari itashuka kama watu watashindwa kuinunua kwanini nishikushangae?! Mtu anunue sukari mfano kwa elfu 1 na ukijumlisha na kodi zote na gharama zote, kilo moja imemgharimu sh. 4000. Halafu una maana uwezo wa kununua ukishuka basi na yeye atashusha sukari na kuuza 3000 au 2000?! Ili akanunue mboga au ili iweje?! Hapo kwa nini usikaguliwe vyeti?! Mtu unakuja na majibu mepesi kwenye swali gumu.! Basi mwambieni atoe amri kila mwenye pesa nyumbani akajiandikishe kwa balozi!
Nyumba ni inferior goods?Mimi nimekupa mfano hapo juu kwamba nimeshuhudia nyumba ikiuzwa kwa hasara,kuna mazingira hizo gharama zako za uzalishaji haziwezi ku apply usikariri madesa,unaposoma uwe unaelewa sio kukariri.Unaposema watu wanaona pesa hakuna kwasababu ya inflation kwa hali sasa ilivyo ni uongo,hio inflation imesababishwa na nini?

Biashara nyingi sasa zinaathirika kwa sababu ya kuongezeka kwa opportunity cost kwani raia hawana pesa na kinachotokea vipaumbele kwao ni kwenye inelastic goods tu na ndio maana unaona baa nyingi zinafungwa kwani zenyewe sio lazima kwa sasa.

Copy and paste ni mbaya sana mkisoma msiwe mnakariri,
Yupo mwenzako anaitwa Ben saanane na yeye ametoa bandiko lake na nahisi labda na wewe umekariri kwake then unakuja kujibu hapa.Yeye ameandika kama kuta pritiwa pesa nyingine basi tutarajie kwenda na pesa kwenye rambo kununua mchicha,msichanganye mambo vijana.

Wewe jiulize tu mama yako mgonjwa anahitaji kutibiwa umehanganika kutafuta mteja kuuza nyumba ambayo thamani halisi ni 50,000,000 na ukakosa kabisa mteja,akitokea mteja wa 30,000,000 huku na hali ya mama yako ni mbaya unafikiri utaanza kuangalia thamani halisi?Ndicho kinachojitokeza sasa kwani kila mtu analalamika hana pesa.Mwaka jana plot kwa baadhi ya maeneo Dar ilikuwa inacheza 4000,000 lakini leo tunaona humu mitandaoni viwanja hivyo hivyo vya ukubwa ulele wa mwakajana vinauzwa 2000,000 na raia wanahangaika na mabango kutafuta wateja.Wewe unakuja na hoja ya inflation kivipi?
 
Kwaiyo uki print hela walioweka hela Uswiz watapoteza??
 
Mbona kiswahili ni lugha ya taifa lakini inakua ngumu watu kuelewa.Mfano wa kuhifadhiwa mamilioni Uswisi nimeutoa baada ya kuulizwa kwamba inawezekanaje mtu azifiche pesa ndani bila kuzalisha?Nipo nikajibu kwa mfano ili kueleweka kwa urahisi kwamba mbona watu wanaficha mamilioni kwenye ma bank ya uswis kwa muda mrefu tu.

Kama BOT wataamua ku print pesa leo,zile za zilizofichwa mabank ya Uswis haziwezi kuathirika kwani kule hawafichi tsh bali wanaficha dola,sijui umeelewa?
 
Back
Top Bottom