Ndata
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 226
- 329
UPOTOSHAJI WA ZITTO KUHUSU MIRADI
2. BANDARI
Mwaka 2017-2019..
Mikakati imefanyika kuimarisha BANDARI na Kuongeza Mzunguko bandarini.
a. Kupunguza Tozo za Bandari Lake Tanganyika(kutoka Dola 12.5 kwa tani mpaka dola 10 kwa tani 1)
b. Ziwa Tanganyika kulikuwa na Bandari 3 tu, (Kigoma Main Terminal, Kibirizi na Ujiji-Forodhani).
Kipindi Cha Magufuli:
Zimeongezeka BANDARI 4, Lagosa(Uvinza), Sibeswa(kalya) na Kagunga.
c. Upanuzi Bandari.
Mh Zitto, 2017 alipongeza Jitihada za Upanuzi na Tender kutanua Bandari. Tamaa yake ni Bandari ya Main Terminal ingeanza(Kigoma Mjini) kutoka Mkopo Japani.
Serikali imetumia mapato ya Ndani-TPA kuboresha Na Kujenga Bandari 4 na Kutanua Mzunguko wa Ziwa ambapo MH Zitto anapongeza
Bunge Polis
Serikali haijazuia Mkopo wa Japani, Majadiliano ya Mkopo yaliendelea, Apr 16, 2020 ilitangaza kupata Tsh Bill 794 kwa ajili ya utanuzi.
3. RELI-SGR.
Lengo ni kuunganisha Tz na East Africa(KiBiashara Mizigo)
Phase I: Dsm-Moro-Dodoma-Tbr-Isaka.
Phases II- Uvinza Burundi..
Nafikiri kuambiwa Phase-I, ilikuwa Uvinza, Ni vyema kupata verifications.
Jambo jeema Kgm ipo kwenye Mpango. Tulipongeze Hilo na maandizi ya Bandari Kavu kujengwa.
4. UMEME-KIGOMA.
LENGO KUACHANA NA UPOTOSHAJI wa Mh. Zitto.
1. Grid ya Taifa
a. consultant yupo Saiti ili kukamilisha michoro kwa Mradi mkubwa wa Grid ya Taifa ya umeme wenye *"kiwango cha juu cha Msongo wa 400kv kutoka Nyakanazi Hadi Kigoma eneo la Kidahwe."*
b. Pia kituo kingine cha kupoza umeme Cha Msongo wa 132kv kutoka Tabora *"kiko katika hatua za mwisho pale Nguruka na kitakabidhiwa kabla ya Desemba mwaka huu."*
c. Hii Ina maana kigoma itakuwa na Grid yenye njia mbili.(Kutoka Nyakanazi 400kv na kutokea Tabora 132kv).
NB
Mkoa utainuka kwa kasi pale wawekezaji Wa Viwanda watakapokuwa na Uhakika wa Umeme.
2. *"UPOTOSHAJI WA ZITTO-Kuhusu Umeme wa Jua 50kv na Biashara aliyojificha Nayo..-."*
a. Mradi wa umeme wa jua Bei ilikuwa juu kuliko Bei Elekezi ya Serikali.
*Tafsir ilikuwa kumuongezea Mtumiaji Gharama na Baadae Mpinzani huyu angegeuka Kusema Serikali inawatoza Pesa Kubwa Wakazi wa Kigoma na kupandikiza Chuki RAIA waichukie Serikali.*
UFAFANUZI WA GHARAMA.
1. Bei ya umeme ya Serikali/ Tanesco ni 1-unit daraja la D1 ni Tsh 100 na Tsh 292 kwa daraja la T1.
2. Muwekezaji alitaka kumuuzia TANESCO kwa Tsh 400 bila kodi.
Ukijumlishwa na kodi 18% ni Tsh 72+ Ewura 1% ya bei ya Umeme ni Tsh 4+Rea 3% ya bei ya umeme ni Tsh 12.
3. Baada ya Jumla yote, mteja/Mtumiaji angenunua 1-unit moja Tsh 488 Tofauti na BEI YA SERIKALI Tsh 100-292 Kwa Madaraja ya matumizi ya Kawaida D1&T1.
(Nb: inasemwa ZITTO ktk Mradi ktk mpango huu alikuwa na % zake, lazima awe Mbogo dili kukataliwa).
Mh.Rais anapambana kupunguza gharama za Maisha ya Mtazania wa hali ya chini. Wananchi na Raia wengi hawajui, Habari za Unit/Tariff etc, hulalamika Wanapoona Kanunua Umeme Kwa Pesa Kubwa au Umewahi kuisha.
Mwambieni Zitto aache upotoshaji, Kigoma Mjini inahitaji Mbunge Mkweli, Mzalendo na mpenda mabadiliko. Mogha anatosha sababu anaenda kuwa daraja Kati ya Serikali kuu na sisi watu wa Kigoma Mjini.