D DOOKY JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 370 Reaction score 50 Sep 26, 2012 #1 Mtoa taarifa mmoja ambaye yuko polisi sasa, anasema Baada ya siku kadhaa za usaili, hatimaye jeshi la Polisi kwa kozi mbalimbali linatoa majibu ya usaili jioni hii, kila la kheri bandugu hao.
Mtoa taarifa mmoja ambaye yuko polisi sasa, anasema Baada ya siku kadhaa za usaili, hatimaye jeshi la Polisi kwa kozi mbalimbali linatoa majibu ya usaili jioni hii, kila la kheri bandugu hao.