Mzee wa Posho
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 160
- 13

acha ujinga!

Sasa hapo kuna sababu ya kufanya uchaguzi?

Tuambie na ccm wakipigwa chini Igunga watakuja na jibu gani?

1. Kifo cha Sheikh Yahya kina impact kubwa kwa sisiem

2. Kumbe Rostam ndiye katuua

3. CHADEMA wachonganishi, wametusingizia mafisadi mpaka watu wametunyima kura

4. Makamba alikuwa mtu muhimu

5. Mafuta ya taa yametugharimu

6. Tujipe moyo 2015 tutamsimamisha mwaarabu
kweli wazee wa magamba a.k.a wazee wa maamuzi magumu hawashindwi kutuambia walipa kodi upupu huu!Sasa hapo kuna sababu ya kufanya uchaguzi?
Tuambie na ccm wakipigwa chini Igunga watakuja na jibu gani?
1. Kifo cha Sheikh Yahya kina impact kubwa kwa sisiem
2. Kumbe Rostam ndiye katuua
3. CHADEMA wachonganishi, wametusingizia mafisadi mpaka watu wametunyima kura
4. Makamba alikuwa mtu muhimu
5. Mafuta ya taa yametugharimu
6. Tujipe moyo 2015 tutamsimamisha mwaarabu
1. Ni vigumu kuchukua jimbo lillilokuwa linashikiriwa na chama kingine
2. Kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi
3. Kumefanyika uchakachua mkubwa sana,kura za chadema zimeibiwa
4. Msimamizi wa uchaguzi kapendelea sana ccm
5. Vijana wetu tuliowatoa tarime na bavicha hawakua makini
6.kitendo cha cuf kusimamisha mgombea kimegawa kura hasa za chadema
7.watu wa igunga bado hawajui mageuzi ya kweli
8.mgombea wetu alikua hana sifa za kutosha!
Nionavyo mimi,CDM kushinda itakuwa vigumu kwa sababu kuu moja ambayo ni kwamba CCM wanajiandaa kutibu majeraha waliyonayo ndani ya chama chao,najua kwa sasa kamati ya ufundi ikiongozwa na mtalaam mkama iko kazini ikifanya situational analysis.Mbinu zote zitatumiwa pamoja na wizi wa waziwazi na vitisho vya kutosha kwa sababu wana dola.Hivi wakiiba kura au kumlazimisha mkurugenzi atangaze vinginevyo kuna yoyote atakayevumilia kufuatilia? jibu hakuna,nawafaham watanzania bado waoga kiasi kwamba kama ni maandamano yataishia siku moja tu ambapo watu kadhaa watakufa na viongozi wa CDM WATAKAMATWA NA HABARI KUISHIA HAPO na kuwacha CCM wakijigamba kupata ushindi wa kishindo.Kwani Arusha ilikuwaje? kwa hyo mi nawaonea huruma wapinzani kwa sababu wanashindana na mbogo aliyejeruhiwa anayejaribu kutibu majeraha yake