Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,945 Reaction score 4,827 Feb 10, 2026 Thread starter #21 Ngorunde said: DINI ni Mfupa aliotupiwa mwafrika ili atoe nafasi mgeni aweze kula mema ya nchi. Endeleeni kuviringishana na hilo fupa. BTW, dini na kunyanduana ndio vitu pekee mtu mweusi anavyoweza kuvifanya kwa umakini zaidi. Amkeni..!! Click to expand... Hiyo ni dhana mbaya We deal na mada
Ngorunde said: DINI ni Mfupa aliotupiwa mwafrika ili atoe nafasi mgeni aweze kula mema ya nchi. Endeleeni kuviringishana na hilo fupa. BTW, dini na kunyanduana ndio vitu pekee mtu mweusi anavyoweza kuvifanya kwa umakini zaidi. Amkeni..!! Click to expand... Hiyo ni dhana mbaya We deal na mada
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 5,883 Reaction score 12,570 Feb 10, 2026 #22 Fene said: Hiyo ni dhana mbaya We deal na mada Click to expand... Hakuna mada hapo wewe....Dini ni illusion.....Kuhangaika na mambo ya dini ni sawa na kucheza na kivuli chako, jua likizama kila kitu kinapotea.
Fene said: Hiyo ni dhana mbaya We deal na mada Click to expand... Hakuna mada hapo wewe....Dini ni illusion.....Kuhangaika na mambo ya dini ni sawa na kucheza na kivuli chako, jua likizama kila kitu kinapotea.