raji makuya Member Joined Aug 22, 2014 Posts 58 Reaction score 4 Sep 10, 2014 #1 nani aneyejua majibu ya diploma muhas yanatoka lini.. au kama yameshatoka anambie pa ku yapata.
M massoudamour Member Joined Aug 13, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Sep 10, 2014 #2 Hapo umenena mi mwenyewe nasubiri, nimeulizia kama yamebandikwa, hayajabandikwa na kwenye web yao hakuna, nasioni alama yoyote
Hapo umenena mi mwenyewe nasubiri, nimeulizia kama yamebandikwa, hayajabandikwa na kwenye web yao hakuna, nasioni alama yoyote