Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya kutakatisha Pesa za walamba asali duniani kutokea Middle East mpaka Wafanyabiashara, na viongozi wa nchi nyingi duniani ikiwemo Africa... Yaani waliamua London iwe a Financial Center ya Dunia..... (Je na sisi tukiwaiga walichofanya kwa kuachia kila rasilimali (Commanding Heights) na sisi Dar ni Financial Center..., Ila huenda hata wao walichofanya sio kwamba wamefanikiwa.... arguably naweza kusema wanajuta....
www.jamiiforums.com
Tunaambiwa kwamba USA wanamikopo zaidi kuliko nchi nyingine yaani bajeti yao ina deficit kubwa (yaani matumizi yao ni makubwa kuliko makusanyo) hilo ni kweli ila tunasahau kwamba hio pesa tunayoitafuta ili tununulie vitu kuanzia madawa mpaka bidhaa zingine ni pesa yao (Dollar) hivyo hata wakiya print ya kutosha bado mtayakusanya na mwisho wa siku kuyarudisha kwao....
Angalizo;
Tubapojibu Hoja tuseme ni nini na kipi kifanyike na kitatufaa vipi sisi kwa mazingira yetu na sio hata fulani anafanya.....
Privatization, The God that Failed (lesson from UK)
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa vipi. Kwa msaada huo ninaleta extract kutoka kwenye Gazeti la the Guardian kuona mtizamo wao kuhusu...