Majibu ya HESLB appeals yanatoka lini ?

Mapfa A

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
250
Reaction score
259
Samahani wakuu majibu ya Appeals za HESLB kwa waliokosa mkopo yanatoka lini?
 
Usitegemee broo kuna watu wanapiga mwaka wa tatu Edction na hawajawh pata hata bumu. hiyo huwa ni danganya toto kwan ni wachache sana wanaopata appeals tena kwa kuonga mapesa.

Hivyo jipange upya kuomba mkopo.

Mwez wa 4 labda utabaatisha.
 
Pole sana ndugu yangu.
Tulijaribu kufatiria kwa karibu kuhusu ilo swala tukaambiwa serikal haina pesa so mpaka watakapo anza kuomba tena ndo tuombe.
 
Duuu! hapo kukaza moyo tuu daaah!
 
Hawajaweka kwenye mtandao yanapatikana chuoni!!! Udsm washabandikiwa labda kwa msaada ungewasiliana na kitengo cha mikopo chuoni kwako!!!
 
Ngoja nita check kesho. Sasa wanajua wanavyuo wapo likizo kwanini hawaweko kwenye net???😭😭
 
Ngoja nita check kesho. Sasa wanajua wanavyuo wapo likizo kwanini hawaweko kwenye net???

Majina ya appels huwa hawawek kwa net..

yanatumwa kwa loanboard officer wa chuO husika ila kama chuo chako akielewek lazma msoteshwe sana. vyuo ka udism na st august huwa wanapata mapema sana..
 
Majina ya appels huwa hawawek kwa net..

yanatumwa kwa loanboard officer wa chuO husika ila kama chuo chako akielewek lazma msoteshwe sana. vyuo ka udism na st august huwa wanapata mapema sana..

kwa hiyo watalipa kwa semister ya 1&2 au ya 2 tu.
 
kwa hiyo watalipa kwa semister ya 1&2 au ya 2 tu.

Inategemeana, kwa mfano nimefwatilia mwaka juz walitoa vyuo ving mwaka wa pili tu na watatu, weng hawakupewa ya mwaka wa kwanza...

ila wakiamka vzur unapewa yote na ya nyuma pia.
 
Nasoma Rucu zamani Ruco LLB.mwanzon nilikosa kabisa.nika appeal zali limenidondokea nimepata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…