Majibu ya kupewa mkopo wizara yajibu

asante mdau jana tulikuwa wote heslb nakuaminia ijumaa naungana nawewe (ninyi) kwenda wizarani kupata majibu, ngoja niotafute nauli yakunitoa chalinze nije

safi sana mkuu muvijo,kumbe jana mlikuwa na viongozi wangu wa msafara,big up kamanda.
Nauli ya chalinze dar sh. ngapi ?
 
piganieni haki zetu wakubwa, Mungu yu pamoja nanyi. mnawakilisha kundi la wengi sana tulio mikoani.
 
2naomben suport yenu hata mlopewa hyo ijuma ili pawepo na influenc zaid ...

Inauma xanaaaaa wadau wangu..'did not secureeee'..?????
 
2naomben suport yenu hata mlopewa hyo ijuma ili pawepo na influenc zaid ...

Inauma xanaaaaa wadau wangu..'did not secureeee'..?????
 

Duuh!!
Badala ya wizara kuwatangazia wananchi kakwambia wewe "uwaambie Watanzania wote waliokosa mkopo wasubiri..."
Be serious!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…