Majibu ya mabinti wa zamani wakiulizwa unapenda kuwa kama nani ukiwa mkubwa.

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
989
Reaction score
1,843
Wengi walikuwa wanataja majina kama:-

•Asha Rose Migiro
•Getrude Mongela
•Anne makinda

Sikuhizi wanataja nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…