Wewe nae bila hata ya kuanza kujadili ''contents'' za hizo slide zako, umechemsha. Utaandaaje slide za maandishi mengi hivyo unataka watu wasome kwa ku - concentrate alafu unaweka audio ya nyimbo, inasumbua kuisoma na inatuondolea concentration. Ungeweka basi audio ya maandishi yanayopita kwenye screen ili tuifatilie kwa makini.
Kuhusu contents, wanakuja wengine kukujibu.
KATIBA ILIYOANDIKWA NA ''JOKA LA MAKENGEZA MSAKA PESA"
Hata hivyo sasa hivi sisi tulishaacha kuijadili hiyo katiba, haina mvuto, ndio maana hata jana wakati waziri wa Sheria Dr, Asha Rose alivyoenda kuigawa katiba yake kwa makundi maalum, ilimdodea.
HABAri YA MUJINI SASA HIVI NI UKAWA KUSHIKA DOLA TU, na sio nyingine.
Katiba zetu mtafungia maandazi tu
Ndugu yangu sasa mambo mengine tuombe hata ushauri kwa wanaoelewa kabla ya kuanza kuonyesha udhaifu wetu. Mtu mmoja akasema "Don't sell your ignorance" eti wadau kuna audio ya maandishi!! Neno audio limetokana na neno la Kilatin "audire" maana yake to hear, kusikia. Sasa wewe unakuja na uelewa wako wa mwezini unatwambia audio ya maandishi. Bora ungebaki kwenye hoja ya msingi haya yasingekupata. Katiba Inayopendekezwa ni nzuri sana kwani malengo muhimu ya binadamu na haki zao vimezingatiwa. Soma uelewe usilete hoja uchwara. Umesikia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.