Majibu ya Mtendaji Mkuu wa BRELA kuhusu kinachoitwa "Kukimbiza wawekezaji" kilichoandikwa JamiiForums

kuendelea kuunganisha Mfumo wa BRELA na mifumo ya taasisi nyingine kama Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Benki, Uhamiaji na Mamlaka za utoaji Leseni katika Halmashauri....,...........UMESAHAU KUUNGANISHA NEMC,TBS,TFDA, AMBAO NDIO WASUMBUFU KUPITA KIASI. NEMC KUFIKA SITE MOJA GHARAMA NI ZAIDI YA TSH 20 MILIONI. PIA NI VEMA TAASISI ZOTE HIZO ZIWEKE GHARAMA ZA HUDUMA ZAO KWA KILA AINA YA UWEKEZAJI NA ZIWE WAZI. KUKIMBIZA INVESTORS SIOBKUTUMIA UCHELEWESHAJI WA HUDUMA TU. KENYA WENZETU GHARAMA ZIKO CHINI.SO MWISHO UNAKUTA THE SAME PROJECT TANZANIA GHARAMA NI MABILIONI ,MWEKEZAJI ANAKIMBILIA HAPO KENYA ANAACHA MKILUMBANA HUKO BONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…