Majibu ya necta

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Kijana wangu ame reseat form IV 2011 kwenye private center kama private candidate, bahati mbaya amepoteZa namba yake ya mtihani hivyo tumeshindwa kupata matokeo yake, tufanyeje kupata hayo matokeo.
 
Aende posta akafuatilie cheti chake kipo tayari au tafuta matokeo ya necta 2011 ayagoogle angalie atapata.
 
Kijana wangu ame reseat form IV 2011 kwenye private center kama private candidate, bahati mbaya amepoteZa namba yake ya mtihani hivyo tumeshindwa kupata matokeo yake, tufanyeje kupata hayo matokeo.

Pole Mkuu fuatilia gamba lako,fanya kama alivyokushauri Molembe.
Kama umepata hata C moja ni PM nikupe zawadi yako.🙁
 
Inamaana kazungusha, kapata yai, kaend msamvu, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…