Majibu ya oral interview advans bank yameshatoka?

Mwanakanenge

Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
75
Reaction score
17
Wanajamvi naomba nijulishe juu ya oral interview ya Advans Bank kwa nafasi za Teller,Client Officer na Assistant Client Officer kama wameshatoka na kuna walioitwa baada ya Oral interview.
Naomba mnijuze
 
Wanajamvi naomba nijulishe juu ya oral interview ya Advans Bank kwa nafasi za Teller,Client Officer na Assistant Client Officer kama wameshatoka na kuna walioitwa baada ya Oral interview.Naomba mnijuze
yameshatoka na watu wapo training hii wiki ya pili sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…