Hata mimi nasubiria majibu ya mofcom scholarshipWadau habarini za jioni.
Ndugu zangu naombeni tupeane update kwa waliomba maombi ya scholarship za china kama majibu wameanza kupata .
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Majibu yatakuwa "mabovu" tu ndugu "kibovu"Wadau habarini za jioni.
Ndugu zangu naombeni tupeane update kwa waliomba maombi ya scholarship za china kama majibu wameanza kupata .
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Hahaha kusomea Nyumbani ndio maana hatuendelei, tunadanganyana tu na kupeana sifa za kijinga, siku ukienda kushindana na wenye akili unabaki una ng'aa macho. Elimu sisi tuliletewa tu kama vitu vingine vingi, hivyo ni bora ukiifuata huko kisimani ilikoanzia, kuanzia first grade/Standard one hadi PhD.First degree tamu ukianzia nyumbani then Second + huko ndio poa kwenda abroad.
Ndio maana nchi za afrika haziendelei.
Majibu yatakuwa "mabovu" tu ndugu "kibovu"