Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
jaman nixaidien kuna mdogo wangu yeye kahitmu mwaka huu na kupata BDE je nae anaruhucwa kuomba chuo? nixaidien kabla ya dedline
Jamani nime apply chuo ila mpaka leo system check kwa anaye fahamu aniambie kabla ya muda kuisha
jaman nixaidien kuna mdogo wangu yeye kahitmu mwaka huu na kupata BDE je nae anaruhucwa kuomba chuo? nixaidien kabla ya dedline
jaman nixaidien kuna mdogo wangu yeye kahitmu mwaka huu na kupata BDE je nae anaruhucwa kuomba chuo? nixaidien kabla ya dedline
Mkuu mwambie aaply tu ijapokuwa kuna tetesi zinasema principal credit ni C , but wonder Tcu guidebook wanasema principal ni D, ila cha kufanya na cha busara ww aply tu lakini isiwe kozi yenye competition sana mfano Education pia chuo kisiwe chenye ushindani like UDSM au Mzumbe.
Goodluck
mkuu mi nina CDE nilimaliza 2008 Nimeomba education means naweza kukosa au niaje
Watoto wana moto na chuo hao
Ndio mkuu mi kuna mdogo wangu imeshaproced tayari kwenye kozi 4 lakin ya tano inazingua.
mmmh aliwah nn mbn hata mi bado mambo hayasomekii...
!!!
alifauruje?
of course... (s) he can do it. It's equivalent to Div III- pt. 14 of the previous year (s)- very better if the perfomance is of science subjects.. Unless otherwise, (s)he should select educational courses to secure a chance to join a higher educ. Institution and perhaps loan!
You're welcome!