Majibu ya Transfer yanatoka lini?

bekadula

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
38
Reaction score
0
Jamani hivi haya majibu ya transfer lini mbona kimya sana mtu hadi unakata tamaa ya kusoma mwenye kujua tunaomba atujuze
 
mie nitavumilia hadi kesho , yasipo toka basi naenda chuo nilichochaguliwa, transfer zenyewe tunazisubiri utakuta hata hatujapata tunapoteza muda tu
 
Na kama umeenda chuo ulichochaguliwa mara ya kwanza na transfer zikatoka umehamishwa, je ni lazma kuhama au unaweza baki chuo hicho ulichojisajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…