Majibu ya waliotumia dawa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume IGP

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Wakuu tulipanga kutoa dawa hii kwa watu 15, lakini mpaka sasa wamechukua watu 11 (kumi na mmoja) tu

  • Watu wanne wamepiga simu na kushukuru kuwa dawa ni nzuri imewasaidia sana.
  • Wawili wamesema bado hawajaanza kutumia
  • mmoja amesema bado kidogo anaomba aongezewe dozi
  • Wanne hatujapata majibu yao kabisa ingawa wengine tumejaribu kuwauliza.

Bado tunasubiri feedback kutoka kwa hawa watu wanne.
Ahsanteni.
 
Mkuu hta Mimi nashukuru sana. Dawa haikunichosha sana isipokuwa Mara kwa Mara
Nilikuwa nashikwa na mkojo mabadiliko ni makubwa kwa sasa mambo safi yaani niki toka usingizini alfajir nakuta kitu kimesimama. Dah yaani noma.. Pos sana ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom