Wakuu tulipanga kutoa dawa hii kwa watu 15, lakini mpaka sasa wamechukua watu 11 (kumi na mmoja) tu
- Watu wanne wamepiga simu na kushukuru kuwa dawa ni nzuri imewasaidia sana.
- Wawili wamesema bado hawajaanza kutumia
- mmoja amesema bado kidogo anaomba aongezewe dozi
- Wanne hatujapata majibu yao kabisa ingawa wengine tumejaribu kuwauliza.
Bado tunasubiri feedback kutoka kwa hawa watu wanne.
Ahsanteni.