Majibu ya wizara kuhusu pesa ya field ni haya

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
jana mda 10:00 am niliwasiliana na wizara kuhusu kuchelewa kwa pesa ya field kwa baadhi ya vyuo!majibu ni kama ifuatavyo(1) kwa kweli hili ni tatizo kubwa linalosugua vichwa vyetu kama watendaji wa wizara ila tunalitambua na toka last week tulikuwa kwenye ufumbuzi wa hilo jambo(2)tatizo kwa sasa sio wizara au loans board kazi imebaki hazina kutoa hizo pesa"nikauliza swali zinatoka lini ili kwa wale ambao hawajapata wajue namna gani ya kuishi na wanazidi kupata shida"majibu (3)ni kweli watu wanateseka tunajua na ni wengi tunalijua na zinahitajika pesa nyingi kwa hilo ila la kuongeza ni imani yangu wiki hii loans board watapokea hizo pesa kwa ajili ya wale wote ambao hawajapewa hizo pesa wapewe ni tatizo tu la ku-solve na litaisha mda sio mrefu,,HAYA NI MAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA NA WIZARA kwa hiyo bado loans board hawajapokea pesa kutoka wizarani kwani kilichobaki ni hazina kutoa pesa lini?possibly this week TUTAENDELEA KUFUATILIA ILI WATU WAPEWE PESA ZAO ILI WAWEZE KUENDESHA MAISHA YAO "kwa leo"
 

Wewe ni nani?
Au umetumwa kuja kuwazidishia hasira wadogo zetu?
 

we ukiwa kama nani unawasiliana na wizara
 
we ukiwa kama nani unawasiliana na wizara

japokuwa sio mm, ila naomba nkujulishe kuwasiliana na wizara ni haki ya kila mwananchi anaetaka kufanya ivo, hata wa darasa la saba atakuwa anajua hilo......sasa we cjui n wa darasa la ngap
 

lini zitaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…