ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Alikuwa anapata makiki kwa kum-criticise Magu as for now he lost, hajielewi yuko wapi upinzani ama ccm"... I desist responding to you", then he proceeds to respond, "... parties which won't attend are free to do so as it is within their constitutional right."
He says he is a leader, properly groomed. What does that has to do with the question begging for an answer?
This guy is losing it big time! He showed incredible potential early on in his political life, but lately, he seems to be confused. He no longer knows why he is in politics.
What about this!!Usinge copy, ebu andika ya kwako tuone nawewe kiinglishi chako ni Cha ugoko au kimeenyooka!
Kwa sheria gani na kanuni ipi, kuna sheria ya Shadow Cabinet.Chama cha Zitto kimeunda serikali kivuli huko bungeni na mseto huko Zenji hivyo Zitto ndio kiongozi mkuu wa upinzani nchini.
Hiyo kivuli bungeni iko wapi ? Mtu kateua wasela wake mitaani kuwa mawaziri kivuli unasema bungeni !Chama cha Zitto kimeunda serikali kivuli huko bungeni na mseto huko Zenji hivyo Zitto ndio kiongozi mkuu wa upinzani nchini.
Hao waliopo CCM wasingeweza kabisaa, kama CCM isingekuwa na dola.What about this!!
Mnyika and Zitto are nicompoop and they both don't deserve the positions they are in. In fact no political party in Tanzania other than ccm which is so credible to to keep this ball rolling especially when it comes to political politics.
Zitto ni dalali na mdini snANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON.
The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by all parties, CSOs, FBOs etc.
Question from Mnyika to TCD Zitto:
“Why do you proclaim that the conference "will be attended by all parties" while even the invitation letters have not been received by respective parties and consequently confirmations have not been made hitherto?”
Respond from Zitto:
“I am a leader. Properly groomed. I desist from responding to you. However parties which won’t attend are free to do so as it is within their constitutional rights. The invitation is open to all registered political parties, CSOs and religious leaders”.
View attachment 2137029
Inawezekana vipi ukaunda serikali, halafu hapo hapo wewe ndiye ukawa Kiongozi mkuu wa upinzani...Chama cha Zitto kimeunda serikali kivuli huko bungeni na mseto huko Zenji hivyo Zitto ndio kiongozi mkuu wa upinzani nchini.
Huijui Chadema weweAlafu CDM hawajui kulikuwa na vyama vya upinzani vikubwa leo vinapumulia mashine,endeeni kukariririsha,2025 inakuja.
Sio CCM ndio hawajui kuwa kulikuwa na vyama vya ukombozi na vyama dola vikubwa leo vinaitwa vya upinzani. Endelea kukariri.Alafu CDM hawajui kulikuwa na vyama vya upinzani vikubwa leo vinapumulia mashine,endeeni kukariririsha,2025 inakuja.
...mkuu wa upinzani malaya nchini!Chama cha Zitto kimeunda serikali kivuli huko bungeni na mseto huko Zenji hivyo Zitto ndio kiongozi mkuu wa upinzani nchini.
To make a livingWhy is he in politics ??!!
Kila chama kina misingi yake ya kuanzishwa kwake na misimamo yake.Alafu CDM hawajui kulikuwa na vyama vya upinzani vikubwa leo vinapumulia mashine,endeeni kukariririsha,2025 inakuja.
Akiwa nje ya chama hana madhara bora kushirikiana nae akiwa nje.Mpambano huu wa Zitto kabwe unaletwa kwenu kwa udhamini wa Chama cha Mapinduzi
Chadema pamoja na kudai walimtambua Zitto kuwa ni Mamluki wa Chama cha Mapinduzi tangu 2009 alipochukua fomu kupambana na Mh.Mbowe lakin bado ilipofika 2010 chama chake kilimteua kuwa Mgombea Ubunge Kigoma Kaskazini na aliposhinda uchaguzi wakasema kasaidiwa na Kikwete
Ilipofika chadema wapeleke jina la Mwenywkiti wa kamati ya PAC bado chadema wakapeleka tena jina la Zitto na Spika akalibariki
Huenda Chadema na Zitto wote tajiri yao mmoja
Sasa kulikuwa na haja gani ya kumuuliza Vitus juu ya uanachama wake na jinsi alivyofukuzwa....kama anamuhitaji si amkaribishe tu ACT.....Ukorofi tu!
Zitto is too naive. Hii cheap language siyo ya leadership material. As long as ataendelea hivi, itakuwa vigumu mno kwake kuaminiwa na wananchi.ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON.
The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by all parties, CSOs, FBOs etc.
View attachment 2137347
Question from Mnyika to TCD Zitto:
“Why do you proclaim that the conference "will be attended by all parties" while even the invitation letters have not been received by respective parties and consequently confirmations have not been made hitherto?”
Respond from Zitto:
“I am a leader. Properly groomed. I desist from responding to you. However parties which won’t attend are free to do so as it is within their constitutional rights. The invitation is open to all registered political parties, CSOs and religious leaders”.
View attachment 2137029