Majibu ya Zitto baada ya kuulizwa na Mnyika, “I am a leader. Properly groomed. I desist from responding to you”

Umeandika hoja fikirishi sana hapa.
 
Kwa kifupi sana, Zitto huwa anajiona ana akili kuliko wengine wote na ana deserve kuabudiwa.

Na hapo ni kiongozi wa TCD tu akipewa uongozi wa nchi si atakuwa dikteta.
Kiukweli Zitto ana akili ukilinganisha na Mnyika
 
You know what? U. R very right! And this was purposely designed ili mtanzania asiyetaka kuwa mwanasiasa abakie zuzu forever!
 
Sasa hasira za nini chalii angu? Zitto
 
Nachokiona hapa, kuna chama kinachoona initiative zozote za kisiasa za upinzani ktk nchi hii zinatakiwa ziasisiwe na wao.

Wakianzisha wengine ni usaliti. Leo wanajifanya kusahau TCD sio chama cha siasa ni mwamvuli wa vyama vya upinzani vyenye usajiri na Zitto kwa sasa ni mwenyekiti.

Wanakereheka kusikia "Peace and Reconciliation" inatamkwa na Zitto wakimuoanisha na ACT Wazarendo, hali kuwa TCD sio ACT. Upinzani wa aina hii unachanganya jamii.

Lei Mnyika hataki ajenda ya Peace and Reconciliation kwa sababu tu ni initiative inayoasisiwa na Zitto wa "ACT Wazarendo".

Uongozi ni kuacha alama inayoonekana, na Zitto anatengeneza alama, ķuwa niliookuwa Kiongozi wa TCD nilifanya nini?
 
Mbona kajibu kama amepaniki! Ni haki ya Mnyika kumhoji sababu logo ya chama chake imehusikana mambo ya TCD.
Fallacy.
 
This guy is losing it big time! He showed incredible potential early on in his political life, bu
I was warned when I tried to put the guy and the late Mzindakaya in the same pot. I was very lucky to listen those who warned me. I am happy.
 
Mku jitahidini kukijenga chama kwani Zitto anajulikana kwa hiyo jitahidini kukijenga chama ili mjionyeshe tofauti ya mnavyoonekana au mnavyozungumziwa ndo afya hoja.

Pia kumbuka kuna kitu mnaita inuatanga kila uchao inakiumiza ACT lazima chama kama kijiulize kwani wanachama wanakihama chama na pindi wanapoongea wanaongea mengi kwa hiyo lifanyieni kazi hili kwani muda mwingi mnamwongelea mpinzani wenu Chadema.

Na ukiangalia siasa zetu ACT kwa bara bado hamjafikia kiwango cha Chadema jengeni chama ili mpate kuwarudisha wanachama wanaokikimbia chama.

Kama mmeamua kukaa kimya juu ya kinachoendelea ndani ya chama au mmeamua kujipa kazi ambayo sio ya ACT kwa Bara ndo maana baada Mbatia kujua alikokosea ameamua kurudi nyuma ili akijenge chama.

Kuna mahali hampo sawa jitahidini mlitambue tatizo liliko ili mjikite kukijenga chama mashambulizi ya hoja jibuni kwa tafakari sio hasira kwani hasira haijawahi kuisaidia tasisi yoyote.

JENGENI CHAMA KWANZA
 
Hili ndio Tatizo kwako na wengine. Uzi huu unazungumzia majibu ya Zitto kwa swali la Mnyika. Mnyika ka react kwa Taarifa ya kusanyiko TCD na Rais iliyotolewa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Zotto Kabwe.

Mnaihusishaje ACT Wazalendo na Shughuli za Taasisi ambayo Chadema ni member na Zitto kwa sasa ni kiongozi wenu kwa mujibu wa Taratibu za Taasisi?
 
Huyo vampire was properly groomed by Mbowe same as Mnyika Hawa wote tumefanya nao siasa since University na wakapelekwa ujerumani kusoma Sasa asijifanye amesahau kwamba hiyo grooming ilitoka wapi?

Pia asijisahaulishe kwamba hata Mnyika was properly groomed by the same man who groomed him to the person he is today.

Tatizo waliomgroom wanamjua he is a double agent when it comes to money offers in exchange for information or double-crossing.

Why he always fight chadema wakati anapaswa kukomaa na siasa zake za Zanzibar alikopewa umwinyi kwa mgongo wa Maalum Seif?
 
ZRZK has always been an egocentric person a mole who does not want to struggle to achieve something but to survive through the challenges facing others. He will never ever make any formidable political move because of his very character of betrayal.

The character of man is difficult to change so does the character of betrayal in ZRZK.
 
I bet kuna siku Zitto atakuja kulipa anachomfanyia Mbowe na chama kilichomfanya ajulikane.
 
Mnyika hana akili ya kubishana na Zitto, hata kisomo tu hamfikii.hata hayo maneno kuna uwezekano aliandikiwa tu.
 
Mnyika hana akili ya kubishana na Zitto, hata kisomo tu hamfikii.hata hayo maneno kuna uwezekano aliandikiwa tu.
Siasa haina kisomo broo waangalie kina Bajaji na Musukuma ni STD 7 lkn wako bungeni ni watunga sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…